Naibu Waziri wa Afya, Dkt Godwin Mollel, kuzungumza na vyombo vya habari leo 11 Februari 2021

Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake.

Mfahamishe ambaye hana taarifa.
Mda bado au wandishi wa habari walikuwa sokoni morogoro
 
Ingekua poa kama katika kubwabwaja bwabwaja kwake akatupatia update za bwana Shariff Hamad ambae aliugua corona muda mfupi baada ya kuonana na rais magufoool
 
Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake.

Mfahamishe ambaye hana taarifa.
Mbona walisema hamna haja ya kulizungumzia jambo hilo kwa kuwa ni ujinga kusubiri watu waambiwe, wanakwendaje kuongea na wajinga?
 
Back
Top Bottom