Mollel ana kipi cha kuongea zaidi ya kujitoa ufahamu?Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake.
Mfahamishe ambaye hana taarifa.
And himself is rubbish not only his words.Ni kweli kabisa, siku zote ndugu Mollel ambae ndie Naibu Waziri wa Afya haelewekagi anavyoongea.
Jana nilivyokuwa nasikiliza taarifa ya habari ya saa 5 usiku kupitia kituo cha Azam TV, mtangazaji Ms. Ivona Kamuntu alijaribu kumuuliza vipi msimamo wa Serikali kuhusu COVID 19. Badala ya kujibu hoja akaanza kuongea vitu visivyoeleweka na ku-dwell sana kumuongelea Tundu Lissu kuwa alivyokuwa anakuja kutoka ugaibuni alivaa barakoa lakini bada ya kutua tu Tanzania akaachana na kuvaa barakoa, eti hata kwenye kampeni zake hakuwa anavaa barakoa.
Huyu Mollel ni mzigo sana, badala ya kuelezea kama alivyoulizwa na mtangazaji yeye anamuongelea mtu.......this is rubbish and shame on him!!!!!
Huyu mbuzi ataongea nini?Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake.
Mfahamishe ambaye hana taarifa.
Huyu mtu ni PhD holder au Ni Dr kwa kusomea. Huwa ninakuomba kama vile hajatulia vileLeo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake.
Mfahamishe ambaye hana taarifa.
Hana jipya wala hatusaidii kituLeo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake.
Mfahamishe ambaye hana taarifa.
Dikteta amewabana kila konaAtaongea ujinga na porojo tu. Awamu hii wataalamu wameamua kuziweka akili na ujzi wao pembeni, na hivyo vichwa vyao vinaendeshwa na akili za mtu mmoja tu.
Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake.
Mfahamishe ambaye hana taarifa.
Atakuwa kaambatana na mkuu kwenye kuzindua soko MorogoroBoss wake Gwajima yupo wapi,au ndio kashanaswa tayari?
AiseeSinema zinataka kuanza bila shaka
Kumsikiliza yeye ni katuni toshaKuliko kumsikiliza huyo jamaa, bora niangalie katuni na mwanangu
Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake.
Mfahamishe ambaye hana taarifa.