Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Mollel aziponda hospitali za Serikali kwa kushindwa hata kujaza fomu za Bima, azifagilia Hospital binafsi kuwa ziko makini

percentage za mapato ya bima hazirudi kwa watoa huduma,acha wavurunde ili wakose wote
 
Ohooo... Mwambieni achunge kauli... Anaponda Serikali tena.
 
Mbona analalamika badala ya kuleta ushahidi wa anachosema na kuiambia nchi kwamba yy amewafanya nini wahusika.....
Nachukulia hayo ni maneno ya mtu mhuni tu........
Kazi ya waziri sio kutuambia malalamiko yake bali kutuambia ametenda nn
Ushahidi alete humu jf au wapi?
 
Anachosema Dr. Moleli ni kweli,zie form za Nhif zinakuwa 3, Blue, Pink na Njano, Blue anapewa mgonjwa, pinky inabaki kwa mtoa huduma na njano inapelekwa nhif, lakini cha ajabu kuna bahadhi ya watoa huduma zile karatasi za njano amazo wanapashwa wabaki nazo wao watoa huduma kwa ajili kumbukumbu zao wao wanafanya kama vifungishio za dawa za wagonjwa badala ya wao kuweka kumbukumbu zao.
 
Huyu jamaa atakuwa makini. Ndio maana hata waliopiga Tundu Lissu aliwafichua. Litakuwa jembe. Sasa Faustine Muda wote alikuwa hajui hata wagonjwa wa malaria wanaandikiwa dawa za kichocho?
Huyu naibu hata September haitafika asipoisifia serikali ataishia kutolewa mapema mno.
 
Nguvu ya soda, hata Lugola allianza kama hivi, mwisho wa siku kawa mpenzi mtazamaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…