Punnisher
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,169
- 1,376
Ni miaka mitano pale muhimbili...DDS mbona nafahamu ni course ya miaka mitatu tu
Njee ya nchi ni miaka minne ila course inaitwa BDS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni miaka mitano pale muhimbili...DDS mbona nafahamu ni course ya miaka mitatu tu
TeteteteHakukimbia ni ujasiriamali mzee
Bendera fuata upepo eee? Hivi angetumbuliwa Ummy ungesema Ummy alikua hajui kua wagonjwa wa malaria wanaandikiwa dawa za kichocho.Huyu jamaa atakuwa makini. Ndio maana hata waliopiga Tundu Lissu aliwafichua. Litakuwa jembe. Sasa Faustine Muda wote alikuwa hajui hata wagonjwa wa malaria wanaandikiwa dawa za kichocho?
" Tunaishukuru awamu ya tano kwa kushusha bei ya petroli"Ibada ya kusifu na kuabudu inaendelea...jiwe...jiwe....
Insaniam convertunt.Bendera fuata upepo eee? Hivi angetumbuliwa Ummy ungesema Ummy alikua hajui kua wagonjwa wa malaria wanaandikiwa dawa za kichocho.
Ko unajitahidi kuimba pambio anayoimba Kiongozi wa malaika au sio?
wafanyakazi wa serikalini hawako panctually huu ndio ukweli, ya chini ya blanket hayanihusu nazungumzia matokeo ya ninachokiona. alafu huna uwezo wa kuninyamazisha.Wewe acha hizo kwa tafiti ipi uliyoifanya au unakurupuka tu!wako lazy nchi ingesonga mbele?wewe kaa kinywa hujui Kuna nn chini ya blanketi
Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.
Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la wabadhirifu liko Takukuru.
l
Chanzo: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.
Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la wabadhirifu liko Takukuru.
Kuhusu goverment hospitals Dr Mollel amesema madaktari wake wanawaandikia dawa za kichocho wagonjwa wa malaria na hivyo kuzusha sintofahamu kwenye taasisi za Bima.
Kwa sababu wanalipwa mishahara na serikali watendaji wa hospitali zetu wanavurunda tu hata kujaza fomu za Bima ya afya hawawezi ndio maana fedha nyingi za Bima zinaenda hospitali binafsi kwa sababu madaktari na watumishi wao ni watu makini na waliojipanga ambao wanajua mishahara yao inatoka kwenye Bima, amesisitiza Dr Mollel.
Chanzo: Star tv
Maendeleo hayana vyama!