Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Mollel aziponda hospitali za Serikali kwa kushindwa hata kujaza fomu za Bima, azifagilia Hospital binafsi kuwa ziko makini

Huyo jamaa na kipara chake hana jipya.
Kama ni usanii wa watu wa afya unajulikana hata na mwanagu wa miaka 4.
 
Waziri mwenye dhamana ya afya ya Watanzania. Lazima ajue kama daktari huwa anakupiga midole inavyotakiwa kama una magonjwa ya zinaa. Hakuna jambo dogo lazima asimamie kila kitu.

Ndio shida yenu watoto wadogo, sasa matus ya nn, kwaiyo hapo unajiona ww ni bonge la mjanja
 
Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.

Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la wabadhirifu liko Takukuru.

Kuhusu goverment hospitals Dr Mollel amesema madaktari wake wanawaandikia dawa za kichocho wagonjwa wa malaria na hivyo kuzusha sintofahamu kwenye taasisi za Bima.

Kwa sababu wanalipwa mishahara na serikali watendaji wa hospitali zetu wanavurunda tu hata kujaza fomu za Bima ya afya hawawezi ndio maana fedha nyingi za Bima zinaenda hospitali binafsi kwa sababu madaktari na watumishi wao ni watu makini na waliojipanga ambao wanajua mishahara yao inatoka kwenye Bima, amesisitiza Dr Mollel.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Mmh! Useless
 
Ajiangalie sana Serikali ya JPM haipendi kuambiwa ni Fisadi
 
Bado anaipenda chadema. Kuungana na wezi ni kazi kubwa sana.
Kule ukweli hautakiwi? Pili utakiwi kufikiri nje ya fikra za mwenyekiti.
Tunamuomba juakali aanzie kuhoji ile trn 1.5 na ile ripoti ya msando ya ukaguzi wa Mali za ccm
 
Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.

Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la wabadhirifu liko Takukuru.

Kuhusu goverment hospitals Dr Mollel amesema madaktari wake wanawaandikia dawa za kichocho wagonjwa wa malaria na hivyo kuzusha sintofahamu kwenye taasisi za Bima.

Kwa sababu wanalipwa mishahara na serikali watendaji wa hospitali zetu wanavurunda tu hata kujaza fomu za Bima ya afya hawawezi ndio maana fedha nyingi za Bima zinaenda hospitali binafsi kwa sababu madaktari na watumishi wao ni watu makini na waliojipanga ambao wanajua mishahara yao inatoka kwenye Bima, amesisitiza Dr Mollel.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Pongezi kwa Dr Mollel kwa kuliona hili. Hio ni dalili atakuwa waziri mzuri
 
Haya ndo tunayotaka kuyasikia watanzania siyo kuponda tu upande moja,ponda kokote kunakoboronga ili marekebisho yafanywe.MSD kumekuwa na tuhuma nyingi na kwa miongo mingi.Ufisadi ktk kununua vifaa Tiba na vifaa kinga,na mengine kadha kwa kadha.Taasisi inatakiwa kufanyiwa ukarabati wa hali ya juu vinginevyo work as usual.
 
Huyu jamaa anasema ati Serikali ya CCM imejaa madudu? kweli? tutamrudisha CDM akapambane na hali yake kama asipofuta kauli.
 
wafanyakazi wa serikalini wengi wao wako lazy
Wewe acha hizo kwa tafiti ipi uliyoifanya au unakurupuka tu!wako lazy nchi ingesonga mbele?wewe kaa kinywa hujui Kuna nn chini ya blanketi
 
Mmmh! Jamani madaktari mtadhalilishwa mpaka lini? Huyu NW hayuko kwenye field muda mrefu leo anawambia madaktari wanaandika dawa ya kichocho kwa mgonjwa wa malaria? Is possible? Aweke ushahidi ili mgonjwa aliyefanyiwa hivyo afungue kesi.
Hii ni afrika na ni Tz kesi anaifungua wapi.hapa si ulaya Wala marekani mjomba.
 
Angesoma MD asingeongea hivyo ila kwa kuwa ni DDS wacha aendelee...
Tatizo MD au DDS.point hapa mm naona ni uelewa.unaweza kuwa na makolifikeshenu lkn ukawa Bado ni mzigo tu.Kwani marehemu Sokoine au Nyerere alikuwa na nn but think of their vision.Tunachoangalia ni output but not input ijapokuwa watu husema garbage in garbage out lkn siyo wote wako hivyo.
 
Back
Top Bottom