Yani Tanzania kila kitu ni vululu valala tu. Hakuna utaratibu. Si viongozi wala wananchi wote ni kama misukule
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu elewa mantiki ya hoja kwanza. Unaposikia uvaaji wa maski kwenye kuzuia virus kuna kanuni za kuzingatia ambazo ni watu wengi hawazijui.Kwahiyo hili la kuvaa sidilia puani nalo linahitaji wizara ya afya itoe kauli?
Nitailaum sana wizara kama itatoa tamko eti tusivae sidiria puani ni aibu sana hatujawa wajinga kiasi hicho wanaovaa acha wavae kwa utashi wao
Hapana, tamko kutoka wizara ya afya bado lina umuhimu wake kwasababu sio sidilia pekee, huku mtaani watu wame invet hadi soksi kama barakora.Kwahiyo hili la kuvaa sidilia puani nalo linahitaji wizara ya afya itoe kauli?
Nitailaum sana wizara kama itatoa tamko eti tusivae sidiria puani ni aibu sana hatujawa wajinga kiasi hicho wanaovaa acha wavae kwa utashi wao
Kwaiyo unapendekeza uvaaji wa sidiria uendelee?Acheni hivyohivyo kwani mkileta uratibu mtafanya hali iwe ngumu sana,msitake kufurahisha macho mkaaiangamiza roho, kwani kujifunika mdomo inataka ufundi gani,we hata ka unakitambaa jifunike tu(mambo yasiwe mengi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani anaevaa Na asiyevaa nani yuko kwenye hatari ya kuambukiza au kuambukizwaKwaiyo unapendekeza uvaaji wa sidiria uendelee?
Dr. Hi ndude nimeuziwa sh 4500/- hata mbele sioni.
Kama ni kwa wahusika si ungewaambia moja kwa moja kwa nini umeileta hapa.Wahusika wamenielewa bwashee!