Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile aelezea aina za Barakoa za kuvaa na Utaratibu wa kutengeneza ya kitambaa

Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile aelezea aina za Barakoa za kuvaa na Utaratibu wa kutengeneza ya kitambaa

Kwahiyo hili la kuvaa sidilia puani nalo linahitaji wizara ya afya itoe kauli?
Nitailaum sana wizara kama itatoa tamko eti tusivae sidiria puani ni aibu sana hatujawa wajinga kiasi hicho wanaovaa acha wavae kwa utashi wao
Ndugu yangu elewa mantiki ya hoja kwanza. Unaposikia uvaaji wa maski kwenye kuzuia virus kuna kanuni za kuzingatia ambazo ni watu wengi hawazijui.

Nina uhakika hata wewe huzijui na unadhani ni kufunika tu pua. Hilo la sidiria amaeandika tu kama kibeba ujumbe kuonyesha watu wasivyojua kanuni za uvaaji. Watanzanai shuke zetu elimu yake haiwafanyi wahitimu wake kuwa na critical thinking bali kukariri ndiyo maana tunaposikia hoja badala ya kutafakari tunakimbilia kubeza.
 
Acheni hivyohivyo kwani mkileta uratibu mtafanya hali iwe ngumu sana,msitake kufurahisha macho mkaaiangamiza roho, kwani kujifunika mdomo inataka ufundi gani, we hata ka unakitambaa jifunike tu (mambo yasiwe mengi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slow slow alishamsimanga mtu fudenge, ati anayetaka Kigamboni jimbo, akome kama alivyokoma ziwa la mamake, hadharani kwenye mkutano fulani..

Kweli fisi hufikia kipindi wanakulana... 😀😀

Everyday is Saturday.........................😎
 
Kwahiyo hili la kuvaa sidilia puani nalo linahitaji wizara ya afya itoe kauli?
Nitailaum sana wizara kama itatoa tamko eti tusivae sidiria puani ni aibu sana hatujawa wajinga kiasi hicho wanaovaa acha wavae kwa utashi wao
Hapana, tamko kutoka wizara ya afya bado lina umuhimu wake kwasababu sio sidilia pekee, huku mtaani watu wame invet hadi soksi kama barakora.

Sasa hii inaweza kuketa shida baadae kwasababu watu wakitafsiri kauli ya makonda kua hadi vitenge vaeni kila mmoja anaona kumbe cha msingi uzibe mdomo na pua tu.
 
Acheni hivyohivyo kwani mkileta uratibu mtafanya hali iwe ngumu sana,msitake kufurahisha macho mkaaiangamiza roho, kwani kujifunika mdomo inataka ufundi gani,we hata ka unakitambaa jifunike tu(mambo yasiwe mengi)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo unapendekeza uvaaji wa sidiria uendelee?
 
IMG_20200419_180141.jpg
 
Back
Top Bottom