nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Yule hawezi mpiga chini, jamaa mbovu kweli kwa totoz, usishangae kuambia ni koloni lakeNaona kwenye wizara kabaki Ummy tu, sasa sijui na yeye siku zake zinahesabika?
Muda mwalimu mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
InsubordinationUna tengua Naibu unaacha Waziri mwenyewe hii imekaaje
Dark Side
..sio makombora, itakuwa mipashoAisee yatavurumishwa makombora kesho hadi naona aibu.
Nipo hapa, nitakusubiri na maji ya kuchambiaAkivaa barakoa siku ya kumuapisha mollel naenda kunya pale nyerere square Dom
Una tengua Naibu unaacha Waziri mwenyewe hii imekaaje
Dark Side
Haruhusiwi kutangaza visa vya corona mpaka akubaliwe na chattle.Naona kwenye wizara kabaki Ummy tu, sasa sijui na yeye siku zake zinahesabika?
Muda mwalimu mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda alikuwa alikuwa anapingana na wenzakeUna tengua Naibu unaacha Waziri mwenyewe hii imekaaje
Dark Side
Anzisha thread utupe uzoefu wa COVID-19.
Ni kawaida kila baada ya uteuzi kila mtu ongea lake,mara sijui katenguliwa kwa sababu hii ,sijui ile!.Mamlaka ya uteuzi ndio inayojua sababu za kutenguliwa kwa naibu waziri! Kama ambavyo leo tulikua hatujui kama kuna mtu atateuliwa ndivyo hivyo hatujui sababu ya ndugulile kutenguliwa!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hamjaona vituko nchi hii subirini waingie awamu ile ya lala salama mtakoma kuendekeza ccm.Utaalamu upi wa kuzika maiti usiku wa manane na mahali pasipostahili!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadikteta ketu hako.Wazir pekee aliyesimama kulinda professional yake!Ilianza suala la kuvaa barakoa,akapinga barakoa za kisiasa,wanasiasa walisema watu wavae matambaa,yeye hakuamini hizo akasimamia barakoa stahik.Ikaja suala la kujivukiza,yeye akapinga halipo kitaalam akisema mvuke unaweza kuathir mfumo wa hewa.Ukimwangalia Mh.Ndugulile alipingana na strategies za serikali ktk kupambana na Corona.Sasa aliteuliwa ndio boya kabisa,japo atakuwa na muda mfupi cdhan angeweza kudumu.
Katika awamu hii nimeshuhudia wateule wote ni wafuata upepo,hakuna hata wazir aliye na uwezo wa kutumia akili yake kutatua tatizo ama kubuni mikakati na hii ndio maana wanajikuta uteuz wao ukitenguliwa.Nchi hii ni ya mtu mmoja tu,wateule inabidi wawe makini sana ktk kazi zao.Kuna watu wanajua kwenda naye,mfano wazir wa mambo ya nje,Tamisemi,elimu,Ulinz n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app