zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Mbona hauhoji fukuza fukuza za viongozi na wabunge Chadema?Ukiona manyoya ujue kaliwa Keisha habari yenu.Teua tengua za huyu mzee siyo kwa maslahi ya taifa. Nivile akili inamtuma siku hiyo
@victoire..Maisha. Si unajua mishahara ya ma Dr ?
Labda daktari ya kutibu ngombe na fisi huko siaamesoma muhimbili mkuu na ashawahi kuwa mganga wa mkoa wa manyara nadhani pia ashawahi kuwa mkurugenzi hospitali ya seliani..,ni daktari wa binadamu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaha hawa n Kina #Bia Yetu# na #Crimea# hawa nao wanasubir uteuzi kama makada watiifu na hawatateuliwa labda waendelee na nyadhifa zao za Maboli nyumba 10 au Uganga wa Jadi.N mwendo wa makada CDM kula Shavu[emoji23][emoji23]Ummy vipi mbona anamuacha.
Yaani mule kichwani kwa yule bwana kumejaa sifuri!
Halafu ma CCM wafia chama mpo kwenye chama miaka na miaka vyeo wanapewa chadema aisee mna moyo sana na bado mnakomaa tu mnahisi mtachaguliwa jiongezeni bwana
Wewe umeua kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]Huyu Msigwa naye anaishi Chato sasa? Atakuwa anakunja maposho ya kufa mtu . Kufanya kazi nje ya kituo cha kazi. . Hongera zake. Ila asisahau huko nyumbani mkewe wahuni wanaweza kuleta masikhara.
Mkuu kinga yako bado iko poa na huna magonjwa yemelezi, LA sivyo saa iz ndugu zako wangekua wanaongea mengineMimi nimeumwa Corona na sikwenda hospitalini, nimetumia njia za asili na nimepona.
Hata nikafungua uzi humu kutoa ushuhuda wangu.
Sayansi sio jawabu la kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu salama
Adimu sana au ndiyo unakaa ndani tu kama utumbo.
Nakusalimu mkuu
Ni kweli labda alitaka sayansi...lakin tutaenda hivi Hadi Lin kuwa watumwa wa sayansi ya west had lini......HUU N UPUMBAVU....Kama kweli ye alitaka sayansi ndo ulikua muda wa wakuhimiza tafiti za ndani ,kufanyia tafiti hizo nyungu...au kuleta dawa inayotokana na miti ya kujfukiza zenye vipmo kitaalamu.......Ndungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona...
Kwaiyo akijiuzur yy ndo nn...bila yy wengine hawawezi....Magufuli bwana naona ana masihara sana. Ile kamati ya Ummy kumbe Prof. Lyamuya alijiuzulu uenyekiti na akajiondoa kamatini. Serikali hii ni ya ajabu sana sana.
Ndugulile amejiuzulu asitudanganye hapa!
Bora kidogo kuliko sifuri....haya kwa akili yako tu ya kawaida nchi hii na uchumi tulionao ungewezesha watu kugawiwa barakoa....kwa viwanda vipi?Ukiwa na "layman" kwenye masuala nyeti harafu mbishi, mjeuri na mwenye ego kubwa kuliko kichwa chake, ni tatizo.
Dr. Ndungulile alipinga huo ujinga wa kupropagate the so called nyungu bila facts (miti ipi, kiasi gani, ujifukize dakika ngapi etc). Pia alipinga mambo ya barakoa za kushona. Kiufupi alikuwa anampa shule Jiwe na kwa Jiwe hilo ni kosa kubwa
Kukosoa UPUUZI wa kupiga Nyungu ndiyo kumemponza Dkt Ndugulile, hii nchi bhana
.
Jiwe anaondoa Daktari kwenye wizara ya Afya anamuacha yule layman binti wa kitanga
Chadema mnaumia sanaJiwe anafanya maamuzi ya kipuuzi sana anatoa wenye taalumu anaweka anawajua yeye bora angemwondoa Ummy Mwalimu hana utalamu hiyo wizara ni kama muuzaji uji ukampeleka kwenye kuuza dawa za mifugo
Hata mi ningekuwa Rais simtengui yule Dada Wa kitanga, duh mwehUna tengua Naibu unaacha Waziri mwenyewe hii imekaaje
Dark Side
Naona umekurupushwa kwa simu uje hapa Jukwaani kumtetea mungu wenu Jiwe.Bora kidogo kuliko sifuri....haya kwa akili yako tu ya kawaida nchi hii na uchumi tulionao ungewezesha watu kugawiwa barakoa....kwa viwanda vipi?
Wanashangilia nadhani, maana wale waliopikwa Na chadema wanaendelea kula vyeo huku maccm wakiendelea kuwekwa pembeni.Nimeamini chadema Ni kiwanda.Naona bavicha mpo mnashambulia uzi kama nyuki huku mkipiga ramli.
Sent using Jamii Forums mobile app