Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Teua tengua za huyu mzee siyo kwa maslahi ya taifa. Nivile akili inamtuma siku hiyo
 
tupeni wasifu wa mollel jamani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hongera Dr faustine ndungulile. Hakika jina lako litaandikwa kwa wino wa dhahabu kwa sababu ulikataaa nyungu na mask fake.

Atleast ulijitahidi.

komesha korona
 
Ndungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona...
Dah kumbe ukiunga juhud mkono tayar una chako

Its not over until its over...[emoji769]
 
Kesho labda wakati Molele anaapishwa tutapata na matokeo ya iuchunguzi wa ile kamati ya ummy kuhusu Maabara feki ya Taifa
 
Hongera Dr faustine ndungulile. Hakika jina lako litaandikwa kwa wino wa dhahabu kwa sababu ulikataaa nyungu na mask fake.

Atleast ulijitahidi.

komesha korona

Amekataa nyungu vipi ? Mask fake alizokataa zipi ?

He is incompetent
 
Sawa mkuu zamani wakat wapinzan wanawasema mlikuwa mnawatetea sasa hivi nyimbo imegeuka kuwa vice versa.

Alikataa nyungu kwa kusema ina athiri mapafu.
Amekataa nyungu vipi ? Mask fake alizokataa zipi ?

He is incompetent

komesha korona
 
NI kwamba Leo tarehe 16.05.2020 rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.john pombe magufuri amemteua mbunge wa siha Dr. Molell kuwa naibu waziri wizara ya afya jinsia wazee na watoto Dr.mollel amechukua nafasi ya Dr. NDUNGULILE ambaye ametenguliwa usiku huu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote ulikua wapi hujayasema hayo?

Je,kukomesha wizi ni kazi ya mbunge au polisi?

Barabara zinajengwa na mbunge au serikali?



Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiwa mtukutu na mtoro shuleni kwanini taarifa wanapewa wazazi wako ? Kosa wamefanya wazazi au Wewe ? Think


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom