At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Wakushangawa mimi tena.?
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Eti nabakia Africa.
Nakushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Eti nabakia Africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushangaa
Ukiwa mtukutu na mtoro shuleni kwanini taarifa wanapewa wazazi wako ? Kosa wamefanya wazazi au Wewe ? Think
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kukosoa UPUUZI wa kupiga Nyungu ndiyo kumemponza Dkt Ndugulile, hii nchi bhana
.
Jiwe anaondoa Daktari kwenye wizara ya Afya anamuacha yule layman binti wa kitanga
Ukweli unauma hasa ukisemwana mtu mdogoNdungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona.
Ndungulile hakupigia debe matakwa ya bosi wake ya kutumia tiba za kienyeji.View attachment 1452150
Kwenye kitabu cha Robert Greene cha 48 rules of power, Rule namba moja inasema never out smart your master. Always make them feel or appear more brilliant than he is. Always make your boss feel intelligent than you.
Ndugu yangu Ndungulile utakua ulisahau hili.
Kwan ww uko nchi gan? kip usichoelewa???Amekataa nyungu vipi ? Mask fake alizokataa zipi ?
He is incompetent
Ngoja niusikilize wimbo wa Prof JRais anachagua walamba viatu tu kipindi hili.. Mwigulu Nchemba na huyu Mollel, bado yule Katibu Mkuu na Mganga Mkuu aliweka ma cronies wake ambao ni ndio Mzee
Mwigulu na Mollel ukiwasikia Bungeni michango yao ni kumtetea Rais kwa dakika zote wanazoongea na kutukana upinzani, husikii wakitoa ushauri wala mapendekezo, wao ni kusifu na kutukana basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa ya ikulu imesema sababu ya kumtoa ndiyo mnayoizungumza watu wengi humu? Mtaelewa na kujifunza lini mbona mna vichwa vigumu mnatengeneza sababu wenyewe na kuanza kuzijadili wenyewe huku mkiwa hamna uhakika kumbukeni Rais anavyombo vya ushauri kulingana utendaji kazi wa mamlaka zilizochini yake.Tusubiri muda utasema na tutajua sababu iliyomfanya Mh Ndungulile atumbuliwe.Kila siku mmekuwa mkizusha maneno ya uongo kuhusu Mambo mbalimbali baada ya muda ukweli ukijulikana mnakaa kimya Kama mmepigwa na nyindo midomoni mwenu.Mfano mliongea sana kifo Cha Mh Mahiga baada ya muda na ukweli kujulikana mkaufyata.Kazi tunayo wadanganyika, hongera Mh Ndungulile kwa kuilinda taaluma yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na Elimu za kukariri hizo haziwezi kutufikisha popote jadili hoja iliyopo jukwaaniNdungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona.
Ndungulile hakupigia debe matakwa ya bosi wake ya kutumia tiba za kienyeji.View attachment 1452150
Kwenye kitabu cha Robert Greene cha 48 rules of power, Rule namba moja inasema never out smart your master. Always make them feel or appear more brilliant than he is. Always make your boss feel intelligent than you.
Ndugu yangu Ndungulile utakua ulisahau hili.