Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Mheshimiwa Raisi Dr John Pombe Magufuli hajakosea kabisa kutengua uteuzi wa Mheshimiwa Faustine Ndugulile kwa sababu

-Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inampa mamlaka ya kuteua na kutengua...
Sasa yake home msg ni ipi?
 
unaweza ukaenda na usirudi

Jr[emoji769]
 
Mama d,Dr faustine alikua sahihi sana huwezi kutumia mvuke yaani vapour kwa victim ambaye tyar ana ugonjwa justification apa ni rahisi kwamba ugonjwa unaathiri mfumo wa upumuaji na moja kati ya dalili ya ugonjwa huu ni dyspnea shida ya upumuaji which with severity inaweza kuhitaji supplemental oxygen.

Haya mweke kwenye mvuke which might compromise the respiratory pathway na kusababisha hypoxemia which is too bad...kwahiyo daktar alikua sahihi kutumia elimu yake kuwanusuru wagonjwa hapa kosa lake ni kumu out smart his matter bas..angeshaur kwa ustaarabu bila ku expose publicaly ingeleta maana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umekurupushwa kwa simu uje hapa Jukwaani kumtetea mungu wenu Jiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe scientific justifications mkuu sio maneno matupu...vapour kwa mtu ambaye ana ugonjwa tayari na moja kati ta typical presentations zake ni shida ya kupumia huwezi kumfukiza utakua unaleta matatizo tu...kama wewe mzima nikikufukiza tu unatoka una respiratory suffocation vp huyu mgonjwa atabaki kweli???...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Never outsmart your master...alisahau hii rule amesimamia passion yake bila kujali itamuathiri kias gani...mzee baba hataki masikhara kabisa@mh raisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukosoa UPUUZI wa kupiga Nyungu ndiyo kumemponza Dkt Ndugulile, hii nchi bhana
.

Jiwe anaondoa Daktari kwenye wizara ya Afya anamuacha yule layman binti wa kitanga
Aliyechukua nafasi ya daktari ni daktari pia.
 
Magufuli bwana naona ana masihara sana. Ile kamati ya Ummy kumbe Prof. Lyamuya alijiuzulu uenyekiti na akajiondoa kamatini. Serikali hii ni ya ajabu sana sana.

Ndugulile amejiuzulu asitudanganye hapa!
...πŸ™„πŸ™„πŸ™„...
Jamaa alikutana na nini huko mpaka akajiuzulu?
 
Mimi ni Mtaalam waTiba za Asili ninamuunga mkono Aliyekuwa Naibu waziri wa Afya alivyo sema kuwa kujifukiza sio njia sahhi ya kuua Virusi vya CoronaVirus. kuna njia sahihi ya kutumia dawa za Asili kuwaua virusi vya corona Virus sio kujifukiza. Kwani Virusi wa Corona wanapoingia mwilini mwa mtu wanaingai katika sehemu 2 za mwili wa binadamu wanaingia kwenye damu aka kwenye mishipa ya damu na kuigandisha Damu na kuharibu mzunguko wa damu na kuuwa kinga za mwili aka White Blood cell.Na njia ingine wanakwenda kuharibu mapafu yako ili usipate kuweza kupumuwa vizuri. sasa ukiwa unajifukiza utawezaje kuwaua hao virusi wa Corona? Njia ya Asili ya kuweza kuwaua hao Virusi upate dawa za kunywa dawa za kuongeza Kinga ya Mwili kama Juisi ya limao, Tangawizi,,Karafuu ,Zaatari na dawa zingine za kuweza kupambana na hivyo Virusi vya Corona Virusi na kuifanya damu isiweze kuganda katika njia yake ya mishipa. Hapo ukiweza kuzitumia hizo dawa utaweza kuwaua hao Virusi wa Corona Virus. Sio kutumia njia ya kujifukiza.Mheshimiwa Raisi Magufuli Washauri wake walimpa ushauri mbaya wa dawa ya asili ya kujifukiza badala ya dawa ya asili ya kunywa ndio itakayo weza kuwaua hao virusi wa CoronaVirus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…