Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Mzee kaondoa watu wote wenye akili pale Wizarani, halafu kaweka wapiga mapambio!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do not go too far in displaying your talents or you might accomplish the opposite; inspire fear and insecurity. Make your master appear more brilliant than they are and you will attain the height of power.Ndungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona...
usikute walikuta ripoti ipo tayari,wakspewa waongeze nyama tu...🙄🙄🙄...
Jamaa alikutana na nini huko mpaka akajiuzulu?
Amuulize Ndasa aliyekutwa na nyunguMkuu kinga yako bado iko poa na huna magonjwa yemelezi, LA sivyo saa iz ndugu zako wangekua wanaongea mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama Chadema (chama) inahusika kwa namna yoyote kwenye haya mambo..labda maoni ya wanachama.Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Sidhani kama Chadema (chama) inahusika kwa namna yoyote kwenye haya mambo..labda maoni ya wanachama...
Kama wewe ni unatafuta uteuzi ujinga ulioorodhesha hapa ndio umefanya ukakosa nafasi ya Naibu Waziri akapewa Mwarusha wa PhD ya kule mahali.Mheshimiwa Raisi Dr John Pombe Magufuli hajakosea kabisa kutengua uteuzi wa Mheshimiwa Faustine Ndugulile kwa sababu...
Vyote hapo juu kasoro bado sijawa bibi. Mimi ni binti,ni dada,ni mke,ni mama pia. Ninamuomba Mungu anijalie umri mrefu ili nije kuwa Mbibi, mbibi mkuu, mbibi mkuu mkuu kabisa.
Sure mkuu..Ndipo rasmi tulianza kua donor kantri mkuu.
Kwa kiwaambia watu wajifukize Magufuli alisababisha vifo vingi ikiwemo vya watu wake wa karibu sana. Swala la kujifukiza kwa mtu mwenye Corona ilikuwa ni kosa kubwa sana na liligharimu wengi.
Nashukuru mimi ni moja ya watu ambao katu sitokuja kumuamini Magufuli hivyo kauli zake au ushauri wake hautokaa uniathiri maana sitokuja kuufuata, never!