Soma tweets zake za karibuni utajua kwani ametumbuliwa.Watanzania wengi ni malofa
Ndugulile aliongea ishu ya kujifukiza na barakoa za N95 kabla ya Magufuli...hivyo hakwenda kinyume na boss wake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma tweets zake za karibuni utajua kwani ametumbuliwa.Watanzania wengi ni malofa
Ndugulile aliongea ishu ya kujifukiza na barakoa za N95 kabla ya Magufuli...hivyo hakwenda kinyume na boss wake...
Pia udaktari wake ni academically sana! Nilimshangaa sana alipokuwa anakataa watu kujifukiza wakati kujifukiza kupo tangu dunia hii iumbwe labda tungetumie neno la kizungu la STEAMING ndiyo angeelewa au SAUNA.Anayetoa majukumu ndio anajua kwamba unastahili kuondoka au kuendelea kuwepo kwa sababu ana uwezo wa kukufanyia tathmini, jipe muda wa kujua nini kilijiri mpaka akaondolewa.
Binafsi, naamini Ndungulile alijisahau na kujiona ndio msemaji wa wizara kwa kuchukua majukumu ya waziri wake, kwa kuwa tu ana taaluma ya udaktari. Mara nyingi nilikuwa namuona hivyo.
Kujifukiza kunauwa virus kumbe?Pia udaktari wake ni academically sana! Nilimshangaa sana alipokuwa anakataa watu kujifukiza wakati kujifukiza kupo tangu dunia hii iumbwe labda tungetumie neno la kizungu la STEAMING ndiyo angeelewa au SAUNA...
Experienced Professional? but lacking common wisdom. Extremely horrible!Kama wewe ni Msukuma na unatafuta uteuzi ujinga ulioorodhesha hapa ndio umefanya ukakosa nafasi ya Naibu Waziri akapewa Mwarusha wa PhD ya kule mahali. Kama Waziri hana hata hiyo PhD ungekuwa hata na Form Four usingekosa uteuzi wa kujaza nafasi hiyo lakini hata Mamlaka ya Uteuzi yamekupuuza kwa sababu ya ujinga wako. Dr Ndugulile is an experienced professional!
Mkuu utakuwa na PDF ya hicho kitabu unisaidieNdungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona...
Mkuu umenena. huyu jamaa aanaonekana ni "walking encyclopedia" lakini inahitaji akili kubwa kuelewa hili.Pia udaktari wake ni academically sana! Nilimshangaa sana alipokuwa anakataa watu kujifukiza wakati kujifukiza kupo tangu dunia hii iumbwe labda tungetumie neno la kizungu la STEAMING ndiyo angeelewa au SAUNA...
Asante sanaSaa nane mchana
Hapana ndugu Valuwhanoswela sitafuti uteuzi wowote natoa mchango wa mawazo kama wanajukwaa wengine. Jaribu kusoma maoni na kuyajadili kama yalivyo badala ya kuanza kubashiri..Kama wewe ni unatafuta uteuzi ujinga ulioorodhesha hapa ndio umefanya ukakosa nafasi ya Naibu Waziri akapewa Mwarusha wa PhD ya kule mahali. Kama Waziri hana hata hiyo PhD ungekuwa hata na Form Four usingekosa uteuzi wa kujaza nafasi hiyo lakini hata Mamlaka ya Uteuzi yamekupuuza kwa sababu ya ujinga wako. Dr Ndugulile is an experienced professional!
Sawa Mkuu, kumbe tupo wengi.Haya ngoja tuendelee Ku enjoy vile alivyo bidada
Mchapakaz sanaSawa Mkuu, kumbe tupo wengi.Haya ngoja tuendelee Ku enjoy vile alivyo bidada
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanaaa.kapambana kweli na hili janga pamoja na urembo,na uanamke wake wote ule kaonesha ujemedari.Ila nampenda sn.
Ndugulile kajiuzulu mkuu. Hiyo ni janja ya Magufuli.
Mkuu ukichunguza utaona tamko la Ngungulile lilikuja kabla la lile la JPM labda kama ulitaka ali-retract (kula) matapishi yake, kitu ambacho ni unafiki.Kwenye kitabu cha Robert Greene cha 48 rules of power, Rule namba moja inasema never out smart your master. Always make them feel or appear more brilliant than he is. Always make your boss feel intelligent than you.
Ndugu yangu Ndungulile utakua ulisahau hili.