Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Dr. Ndugulile was sharply critical kwenye ishu za kutumia barakoa za vitambaa na kujifukiza, nafikiri hakufanya consultation ya kutosha na viongozi wake. Wakati nchi ipo kwenye kuhangaika kuhamasisha matumizi ya barakoa na watu wakawa wameshaitikia, hasa baada ya Makonda kutoa tamko la kuwataka watu waanze kuvaa barakoa kila wakienda kwenye shughuli zao,

At the same time naibu waziri anaibuka bungeni kuponda barakoa za vitambaa hazifai bila hata ya kutoa suluhisho ambalo angalau litawasaidia wananchi ambao kimsingi inaeleweka hawawezi kumudu gharama za kununua hizo medical masks.

Baadaye tukaona madaktari kule marekani, hususan mganga mkuu wa serikali ya marekani na hata Dr. Sanjay Gupta ambaye huwa anatokea sana kwenye vipindi vya CNN wakitoa maelekezo ya namna ya kutengeneza na kutumia barakoa za vitambaa.
 
Jiwe limejifungia Chattle karibia miezi 2 sasa. Jiwe halitaki kupingwa, jiwe linapanga na kupangua, jiwe ni jiwe tu.
 
View attachment 1452424

Kigogo mwenyeji wa twita naye hakuwa nyuma.

@Dr.Faustine Ndungulile atakumbukwa kwa tahadhari zake za kitaalamu juu ya barakoa za vitambaa na kupiga vyungu
View attachment 1452424

Kigogo mwenyeji wa twita naye hakuwa nyuma.

@Dr.Faustine Ndungulile atakumbukwa kwa tahadhari zake za kitaalamu juu ya barakoa za vitambaa na kupiga vyungu
Unayenyekea kufukuzwa, ni uzwazwa wa njaa ya kwenda chooni kunya! Unafurahia nni kufukuzwa? Au unategea kurudi kama Mwigulu?
 
Mambo ni mengi mda hautoshi, omba Mungu Tu usizikwe mapema , the rest is just supplement
 
Ni kweli labda alitaka sayansi...lakin tutaenda hivi Hadi Lin kuwa watumwa wa sayansi ya west had lini......HUU N UPUMBAVU....Kama kweli ye alitaka sayansi ndo ulikua muda wa wakuhimiza tafiti za ndani ,kufanyia tafiti hizo nyungu...au kuleta dawa inayotokana na miti ya kujfukiza zenye vipmo kitaalamu.......

Huwez kusave nchi kwa akili za kitumwa....nafikir China nao wangekua hivi....bas leo hi wangekua Kama sisi.....They have gone their own way ndo maana wapo hapo leo....

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakua mganga Wa kienyeji sio bure , ishauri serekali ifunge hospitali zote ili tutumie hizi tiba asili ambazo hazitoki west

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeumwa Corona na sikwenda hospitalini, nimetumia njia za asili na nimepona.
Hata nikafungua uzi humu kutoa ushuhuda wangu.
Sayansi sio jawabu la kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kili chokuponyesha ni sanyansi isipokuwa hujui ni sayansi IPI? Au uliomba mizimu yenu?
Nyungu ni sayansi pia isipokuwa siyo sahihi kwa ugonjwa huu na haijadhibitisjwa bado kuruhusowa kutumumika
 
Rais John Pombe Magufuli amemtengua Dkt Faustine Ndugulile, aliyekuwa Naibu Waziri Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto...

Hii barua imesainiwa na Mkurugenzi akiwa Chato?
Mimi nilijua ni utani wa Chadema na kigogo tu mkuu hayupo Chato, sasa ndio nimethibitisha
 
Acha upuuzi, kamati ishamaliza kazi yake kitambo na tiari ishawasilisha ripoti na haya muyaonayo leo ndio utekelezwaji wa mapendekezo, alipojiuzulu kwa nini hukutangaza humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi awamu hii MTU anaweza jiuzulu akatangaza hadharani labda hapendi kuishi,
Kinana alijiuzulu akalazimishwa kufukuzwa, mwijage na tizeba walijiuzulu wakalazimishwa kufukuzwa, hata bashiru alijiuzu amelazimishwa kuendelea, na kabudi alijaribu kuniuziru akashindwa
 
Ndungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona...

Kuwa mkweli na msema ukweli katika serikali hisiyopenda ukweli ni kujitafutia matatizo. Taaluma haina nafasi katika siasa, ndiyo sababu ukipinga jambo la kisiasa kwa kutumia fact za kitaaluma unafukuzwa kazi.

Jambo hilimekuwa tatizo na ndiyo maana wataalamu wetu wamekuwa wakifanya mambo tofauti na taaluma zao ili tu kumfurahisha mtu.

" UKIINGIA KWENYE SIASA, BASI VUA TAALUMA YAKO MAANA HUWEZI KUIFANYIA KAZI ZA KISIASA. SIASA ZA TANZANIA NA TAALUMA NI VITU VIWILI VINAVYOPINGANA"
 
Kuna jambo la kujifuza hapa, aliondoka Mwigulu, Lugola na yule Mhaya watu wakashangilia sn lakini mbona Ndugulile watu wamesikitika sana?
 
View attachment 1452424

Kigogo mwenyeji wa twita naye hakuwa nyuma.

@Dr.Faustine Ndungulile atakumbukwa kwa tahadhari zake za kitaalamu juu ya barakoa za vitambaa na kupiga vyungu
Nimempongeza ndugulile kwa kupokea maamuzi kwa unyenyekevu mkubwa.sio ule ujinga Wa wabunge Wa chadema unaanza kulalama kisa kupokonywa nafasi.unapaswa kushukuru kwa kila jambo
 
..Dr.Ndugulile ni shujaa.

..kiapo chake cha Udaktari kinamtaka asipotoshe wagonjwa...
Inawezekana kweli nyungu peke yake hazitibu COVID 19 lakini kama kiongozi mtaalam wa afya alitakiwa kutoa majibu yanayotoa suluhu.

Kama COVID inahitaji kutibiwa kwa kutumia antibiotics na mgonjwa kuwa sehemu yenye joto au mvuke ijulikanae wa kiasi gani.

Anapokataa solution wanayoamini watu angetoa anachokiamini yeye ni bora zaidi haswa kwa kuzingatia upakanaji wa huduma ya afya kwa walio wengi
 
Mama d,Dr faustine alikua sahihi sana huwezi kutumia mvuke yaani vapour kwa victim ambaye tyar ana ugonjwa justification apa ni rahisi kwamba ugonjwa unaathiri mfumo wa upumuaji na moja kati ya dalili ya ugonjwa huu ni dyspnea shida ya upumuaji which with severity inaweza kuhitaji supplemental oxygen...

Maelezo ya ndungulile walikua too general. Wengi waliyapokea kwa uelewa kwamba nyungu sio msaada na ni hatari.

Alitakiwa kutoa maelezo yanayoeleweka kuhusu watumiaji wagonjwa na usalama wake.

Vinginevyo anaonekana kama wale wanaokataa kuboresha tiba inakopatikana kwa haraka na kusubiria tiba tusiyojua lini itapatikana
 
Haya, sasa toeni takwimu za mwisho za maambukizi. Acheni kutuambia eti mitambo ingali inachunguzwa
 
Back
Top Bottom