Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Faustine alikuwa anafuata miongozo ya WHO na wala siyo US CDC. Kwenye barakoa, WHO na CDC walikuwa wanapingana. Pale ambapo WHO na CDC wanapingana, it is only natural kwa nchi kama zetu kufuata miongozo ya WHO.

Kufukiza hakuko kabisa WHO katika kutibu magonjwa. Na huu ulikuwa ni msimamo wake kabla Rais hajatangaza wa kwake.
Dr. Ndugulile was sharply critical kwenye ishu za kutumia barakoa za vitambaa na kujifukiza, nafikiri hakufanya consultation ya kutosha na viongozi wake. Wakati nchi ipo kwenye kuhangaika kuhamasisha matumizi ya barakoa na watu wakawa wameshaitikia...
 
Maelezo ya ndungulile walikua too general. Wengi waliyapokea kwa uelewa kwamba nyungu sio msaada na ni hatari
Alitakiwa kutoa maelezo yanayoeleweka kuhusu watumiaji wagonjwa na usalama wake. Vinginevyo anaonekana kama wale wanaokataa kuboresha tiba inakopatikana kwa haraka na kusubiria tiba tusiyojua lini itapatikana
Sawa mama hapo nimekuelewa

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo kamati ipendekeze naibu aondolewe kisha waziri kamili abaki. Ujue unabishana na mtu mwenye akili na upelelezi wa hali wa juu wa mambo. Ukiona nimeandika kitu usijibu tena utumbo kama huu. Jiondokee kimya kimya.
Haya mambo ya kutishana tumekatawazwa katika awamu hii ya 5. TUSITISHANE BWANA. Hivi kila mmoja humu akijimwambafy hali ya jf itakuwaje?

Usilazimishe kila mtu humu akubaliane na utumbo wako. Umefanya upelelezi wa nini na wapi na nani alikutuma kufanya huo upelelezi? WE MCHIMBA CHUMVI TU!
 
Hahaha nipo chief, huku kwema kabisa. Vipi wewe?
Tupo na tunaendelea na upigaji wa Nyungu kama kawaida.

Mkuu godauni zako za sukari kitumbini umefunga,
Sukari imekuwa anasa kitaa sasa.

Fikria mkuu achia kiungo hicho!
 
Kuna jambo la kujifuza hapa, aliondoka Mwigulu, Lugola na yule Mhaya watu wakashangilia sn lakini mbona Ndugulile watu wamesikitika sana?
Mkuu kinachofanya watu tusikitike ni sababu ya kutenguliwa kwake ina ukakasi mkubwa.

Unajua ifike sehemu tuwe wawazi hakuna mkamilifu hapa na kama mtu anakosa unyenyekevu wa kujifunza kwa wenzake hyo tayari ni ego na majivuno yanayo reflect anguko...

Huyu ana udaktar wa falsafa na huyu ana udaktar from his first degree hatusemi kwa sababu ni daktar ndo yupo sahihi lakini kwa kutumia justification za kawaida tu jamaa alikua ni sahihi..

Labda kama kudisi kauli ya presidaaa kwenye public ndo iwe tatizo ila otherwise ameonyesha high integrity of medical ethics moja wapo ni "do not harm the patient" hongera chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwekee na CV ya huyo Dr Mollel (NB: kama unayo tafakari kabla hujaiweka kama unaogopa kupimwa mkojo).

Kuna nahau ya kiingereza "cutting off the nose to spite the face", ndicho ninachokiona.
 
Mkuu kinachofanya watu tusikitike ni sababu ya kutenguliwa kwake ina ukakasi mkubwa unajua ifike sehemu tuwe wawazi hakuna mkamilifu hapa na kama mtu anakosa unyenyekevu wa kujifunza kwa wenzake hyo tayari ni ego na majivuno yanayo reflect anguko...
Nipo pamoja na wewe mkuu, Ndugulile ameacha alama nzuri kwenye utendaji wake ukilinganisha na akina Mwigulu ambao njaa zinafanya washindwe kutumia maarifa wanabaki kusifia
 
Nimempongeza ndugulile kwa kupokea maamuzi kwa unyenyekevu mkubwa.sio ule ujinga Wa wabunge Wa chadema unaanza kulalama kisa kupokonywa nafasi.unapaswa kushukuru kwa kila jambo
Nimempongeza ndugulile kwa kupokea maamuzi kwa unyenyekevu mkubwa.sio ule ujinga Wa wabunge Wa chadema unaanza kulalama kisa kupokonywa nafasi.unapaswa kushukuru kwa kila jambo
Ndugulile amejiudhuru uwaziri,chuku hiyo
 
Back
Top Bottom