Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Mzee wa vijembe! Ameshakuwa predicted, akitaka kuita press conference ya kujibu vijembe na udaku lazima atumbue mtu na aapishe ili apate attention ya watu na media.
😂😂😂😂😂😂 dah..aisee. Watu mnagubu kinoma yani
 
Hivi hii wizara ilikuwa na naibu waziri? Mie nilijua ni kama wizara ya Katiba na Sheria ambayo inawaziri tu. Maana namsikiaga Ummy tu. Huyu Ndungulile alikuwa anahusika na shuguli gani, ili tuone pengo atakaloliacha?
 
Ndungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona.

Ndungulile hakupigia debe matakwa ya bosi wake ya kutumia tiba za kienyeji.View attachment 1452150

Kwenye kitabu cha Robert Greene cha 48 rules of power, Rule namba moja inasema never out smart your master. Always make them feel or appear more brilliant than he is. Always make your boss feel intelligent than you.

Ndugu yangu Ndungulile utakua ulisahau hili.
Mkuu aisee I love this..nipe jina hicho kitabu
 
Watanzania, nawapenda sana. Akili zetu hata sie wenyewe hatuzijui. Japo hata mie sitapitwa kesho 😂😂😂

Na hivi Kenya watakutwa na njaa tena mwaka huu, wajiandae kula mawe ya kuchemsha. Na sijui maji ya kuchemshia watatoa wapi maana nasikia Nairoberry hata maji ya kunawia mikono tu hawana .
 
Naongelea kuhusu Coronavirus. Faustine ni Virologist na ni Epidiemologist. Kwa hiyo Covid kama ugonjwa wa mlipuko uliosababishwa na virus ndo eneo lake kabisa. Kosa lake ni kufuata Sayansi.
Kwendeni zenu na huyo Ndugulile wenu.Hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom