residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Umepiga nyungu?
Umemuandalia mwenza wako?
Nimeambiwa watu mnaiva sura na kuchange rangi kama kuku wa kisasa anavyokuwa akiingizwa kwenye maji moto.
Poleni.
Umemuandalia mwenza wako?
Nimeambiwa watu mnaiva sura na kuchange rangi kama kuku wa kisasa anavyokuwa akiingizwa kwenye maji moto.
Poleni.
Naona bavicha mpo mnashambulia uzi kama nyuki huku mkipiga ramli.
Sent using Jamii Forums mobile app