Nijuavyo ni kwamba, uwaziri ni nafasi (political position) kwa Tanzania sawa na ilivyo kwa mkuu wa mkoa au wilaya.Sema wewe mkuu mtu amesoma HGL wapi na wapi na sayansi!
Taaluma inahitajika kwa Katibu mkuu wa wizara, kamishna na wakurugenzi wote isipokuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi.