Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

Kwa hayo maneno tu inatosha kupiga chini.
 
Mnaweza ona ni ujinga lakin hao wenzetu hiyo ndio ajira yao. Wanaringa kwa magari makubwa, mishahara mikubwa, nyumba nzr na maposho kibao kwa sababu ya huruma ya rais kuamua namuweka nani namtoa nani? Hapo anapalilia kibarua na kuomba huruma zaidi ili aendelee kula matunda.
 
Nimekosa cha ku comment. Niwatakieni kazi na siku njema.
 
Kiongozi kma huyu hafai hata kidgo yaaana anaona uwaziri ni kitu cha kutiiii kuliko hata kazi anafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…