Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

Mbona kama huko sawa
 
Unaruhusiwa kuwa mbinafsi au mjinga.

Ukiwa mbinafsi halafu mjinga utaliwa kichwa tu.
 
Viongozi wa namna hii hawatokaa walete maendeleo kwenye nchi... Walamba miguu hawaiwezi kumshaur rais hasa wanapotofautiana hoja!!!
Kazi ni moja kujipendekeza ili kupata kufaidi Kodi zetu, hii inaonesha ubinafsi wahali ya juu yaani hutaki mwingine naye apate nafasi ya kuisaidia nchi unataka wewe tuu usalie sikuzote!! Huu ni ujinga wakiwango cha Sgr....
Wanawake wawili wazanzibari bi zuhura na bi sa100 wanayatetemesha mababa mazima yatanganyika yanayopenda vyeo na ulaji.
 
Alikuwa mbumge kupitia chadema ...baadae akaunga mkono jitihada za mwendazake raisi akazadiwa unaibu waziri yeye na wenzake..siwataji so full kujikomba ndo serikali tulionayo hakuna weledi ukijikomba unapewa cheo
 
Upuuzi Mtupu Unalala Unawaza Cheo Huku Ukijua Wazi Wazi
Cheo Ni Dhamana!! Kazi Hazifanyiki Sasa
 
Yani hili jitu ni jinga mara miamoja kabisa, ndio lilisemaga Bungeni kwa hasira Mbowe ashughulikiwe haraka sana!! Kartika watu wasiojitambua huyu ni kiongozi wao
 
Tatizo watu wenye akili wameachana na siasa na uongozi na hivyo wajinga ndio hufanya maamuzi kwao wajinga na kwa wenye akili wote. Donald Trump.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…