Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Akiwa anatumikiwa serikali ganiAlifanya kazi kwa karibu na serikali ya Awamu ya Kwanza chini ya Hayati Julius Nyerere.
Wewe ni MhengaAsante kwa taarifa hii, wakati akiwa
Naibu Waziri, nimesoma primary na watoto wake wawili wa kiume, mmoja akiitwa Paskali, jina lilikuwa Nizar Nyoni, kumbe ni Nazar!.
Waziri wake alikuwa Tabitha Siwale.
RIP Waziri Nyoni.
P
Ofisi za Elimu mkoa zamani kwa chini ile road alikuwa anakaa hapo zamani.Apumzike kwa amani mzee Nyoni,mitaa ya wapi morogoro?
Classmates zako hao wamefiwa na baba yao, watafute uwape pole....mkuuAsante kwa taarifa hii, wakati akiwa. Naibu Waziri, nimesoma primary na watoto wake wawili wa kiume, mmoja akiitwa Paskali, jina lilikuwa Nizar Nyoni, kumbe ni Nazar!
Waziri wake alikuwa Tabitha Siwale.
RIP Waziri Nyoni.
P