Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Wanajamiiforum habari, Kama kuna viongozi wenye karama ya uongozi duniani ni pamoja Mwanamama Mhandisi Marryprisca Mahundi, Kwanza amejishusha, anafanya kazi bila kuchoka pamoja na Jografia ya nchi yetu lakini bado hachoki kupambanua taifa lake Tanzania.
Zaidi Ni kiongozi anayependa kusikiliza watu na hujibu kwa vitendo hakika wanambeya mmelamba dume kwa kumpata muwakilishi Bora wa wananchi wa Mbeya. Hongera Sana mhe Marryprisca.
Hongera Sana mhe. Rais.