Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Naunga mkono hoja.Wanajamiiforum habari, Kama kuna viongozi wenye karama ya uongozi duniani ni pamoja Mwanamama Mhandisi Marryprisca Mahundi, Kwanza amejishusha, anafanya kazi bila kuchoka pamoja na Jografia ya nchi yetu lakini bado hachoki kupambanua taifa lake Tanzania.
Zaidi Ni kiongozi anayependa kusikiliza watu na hujibu kwa vitendo hakika wanambeya mmelamba dume kwa kumpata muwakilishi Bora wa wananchi wa Mbeya. Hongera Sana mhe Marryprisca.
Hongera Sana mhe. Rais.
UNAMSIFIA AU UNAMHARIBIA???Wanajamiiforum habari, Kama kuna viongozi wenye karama ya uongozi duniani ni pamoja Mwanamama Mhandisi Marryprisca Mahundi, Kwanza amejishusha, anafanya kazi bila kuchoka pamoja na Jografia ya nchi yetu lakini bado hachoki kupambanua taifa lake Tanzania.
Zaidi Ni kiongozi anayependa kusikiliza watu na hujibu kwa vitendo hakika wanambeya mmelamba dume kwa kumpata muwakilishi Bora wa wananchi wa Mbeya. Hongera Sana mhe Marryprisca.
Hongera Sana mhe. Rais.
Zile ID za chawa wake zimetulia kidogo. Ila bado zipo.UNAMSIFIA AU UNAMHARIBIA???
AKILI ZA KAFULILA HIZI
hivi mahundi ni watu wa mbeya au ruvuma?Wanajamiiforum habari, Kama kuna viongozi wenye karama ya uongozi duniani ni pamoja Mwanamama Mhandisi Marryprisca Mahundi, Kwanza amejishusha, anafanya kazi bila kuchoka pamoja na Jografia ya nchi yetu lakini bado hachoki kupambanua taifa lake Tanzania.
Zaidi Ni kiongozi anayependa kusikiliza watu na hujibu kwa vitendo hakika wanambeya mmelamba dume kwa kumpata muwakilishi Bora wa wananchi wa Mbeya. Hongera Sana mhe Marryprisca.
Hongera Sana mhe. Rais.
Saaana mkuu umejuaje?Atakuwa mrembo pia..nna uhakika
Karibu kwenye chama la machawa mkuu inZile ID za chawa wake zimetulia kidogo. Ila bado zipo.