monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
naibu waziri alivoandika barua ya kujiuzuru ndipo alipofanya rais ajue nini kimetokea ndio maana hakusain barua yake ya kujiuzuruSikuwahi kuiskia hiyo kauli mkuu. Ninachokumbuka siku ile kwenye ile hafla ya polisi pale kurasini Rais alisema Naibu Waziri alisha achia ngazi kwa kupeleka barua ya kujiuzulu na akawa anamshangaa Kangi kwa ujasiri wa kuhudhuria hafla ile kwani hakutarajia kumkuta pale! Sikumbuki kumsikia akisema amekataa kujiuzulu kwa Masauni
Sent using Jamii Forums mobile app