Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni na Ramadhani Kailima watinga TAKUKURU kuhojiwa

naibu waziri alivoandika barua ya kujiuzuru ndipo alipofanya rais ajue nini kimetokea ndio maana hakusain barua yake ya kujiuzuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kale kajamaa nikasinch haiwezekani mawaziri wamepita watatu huyu simbachawene ni wa nne lakini kenyewe kapo hakapandi uwaziri kamili yule anaonekana ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyejiuzulu ni katibu mkuu wa wizara.

Masauni ndiye aliyepiga filimbi!
 
Kama ni hivyo kazi aliyofanya ni nzuri ama ulitaka pesa ya uma iibwe!!??
 
Basi wewe ndo hukuwa na taarifa zaidi,maana hata hiyo hafla ilifanyika ukonga na wala sio kurasini.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na
Kama ni hivyo kazi aliyofanya ni nzuri ama ulitaka pesa ya uma iibwe!!??
Nakubaliana na wewe mkuu, amefanya kazi nzuri sana na kaweka mbele maslahi ya nchi yake kama kiapo chake kinavyomtaka

Sikua tu na taarifa hiyo, kumbukumbu zangu za mwisho kuhusu Masauni ilikua ni kauli ya Rais kwamba jamaa kaandika barua ya kuachia ngazi, ndio maana hata kwenye ile hafla hakuwepo
 
Ulikuwa umelewa mkuu, Rais alisema masauni hakujihusisha na hizo dili
 
mbona Rais alisema Masauni hakuhusika na hiyo dili na yeye ndio aliofanya ajue huu uozo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala siyo Masauni aliyemtonya Rais,kama unakumbuka Rais pia alimlaumu Masauni kwamba alisikia japo hakuhusishwa ila alikaa kimya. Ninaamini kabisa kama jamaa angemtonya Rais moja kwa moja baada ya kusikia angepewa wizara.
 
Barua ya kujiuzuru lazima iwe approved na mamlaka za uteuzi vingenevyo kijana anaendelea kupiga kazi kama mzee kakaa kimyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…