Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni na Ramadhani Kailima watinga TAKUKURU kuhojiwa

Aliyeandika ni katibu mkuu labda masikio yangu mafupi, tuyaache hayo vipi habari za huko
mnafuata ushauri wa wataalamu kujikinga na corona!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeandika ni katibu mkuu labda masikio yangu mafupi, tuyaache hayo vipi habari za huko
mnafuata ushauri wa wataalamu kujikinga na corona!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahakikisha navaa gloves, masks(barakoa), nafanya kazi nyingi kutokea home, nahakikisha umbali wa angalau mita moja kutoka mtu mwingine alipo(kasoro wife), nanawa mikono kwa sabuni kila mara na pia na sanitize. Maelekezo yote ya Wizara ya Afya yanafuatwa kwa usahihi kabisa upande wangu, sijui kwako mkuu wangu
 
Wala siyo Masauni aliyemtonya Rais,kama unakumbuka Rais pia alimlaumu Masauni kwamba alisikia japo hakuhusishwa ila alikaa kimya. Ninaamini kabisa kama jamaa angemtonya Rais moja kwa moja baada ya kusikia angepewa wizara.
Watu washaanza kusema ni kitengo wakati..hamna kitu pale...boya tu..mashine ni nyengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni yanayoendelea kichwani mwako. Kama aliwachomea utambi kwa nini aliandika barua ya kujiuzulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…