Naibu Waziri wa Utamaduni, Habari Sanaa na Michezo anamaanisha nini?

Naibu Waziri wa Utamaduni, Habari Sanaa na Michezo anamaanisha nini?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu NW anamaanisha Kuhusu kufanya mabadiliko ya katiba? Au kuhusu nini, maana sijamuelewa Mhe Waziri

Screenshot_20210504-064148.jpg

 
Kumbe lengo la kutokubadili Katiba ni kulinda Viongozi waliopo Madarakani? Kwahiyo ile katiba yetu pendwa ya Mwaka 1977 nayo iwalinda Viongozi?
 
Sidhan Kama hizo katiba ziko kulindana katika namna hiyo..nachofikrii ni kwamba hizo katiba zinawafanya viongozi kuwa miungu watu...na haziwawajibishi wazi viongozi wakuu.
 
Back
Top Bottom