Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo hana msaada kwa Nay Wa Mitego?

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo hana msaada kwa Nay Wa Mitego?

Nimefuatilia sakata la Ney wa Mitego na BASATA toka limeanza sijaona kabisa Naibu Waziri akiwa na msada wowote kwa msanii husika. Nini shida, sheria gani aliyovuja Ney kwa wimbo wake wake Nitasema?
JARIBU KUONYESHA KUWA UNA AKILI HATA KIDOGO VIFUNGU ALIVYOVUNJA VIMETAJWA SASA WEWE UNATAKA UAMBIWE TENA KAVUNJA SHERIA GANI KWELIIII UNAKITU KICHWANI WEWE?
 
Kwa hali hii jimboni mwake
 
Attachments

  • 20240928_114750.jpg
    20240928_114750.jpg
    348 KB · Views: 9
Nay kuna wimbo anamtukana matusi ya nguoni mama yake mzazi na baba yake. Huwezi msaidia mtu mwenye laana.
 
Nimefuatilia sakata la Ney wa Mitego na BASATA toka limeanza sijaona kabisa Naibu Waziri akiwa na msada wowote kwa msanii husika. Nini shida, sheria gani aliyovuja Ney kwa wimbo wake wake Nitasema?
Mwanakulitafuta acha yamkute

USSR
 
Analinda kibarua chake ila awe na uwezo kuwaambia basata hii si fasihi simulizi tu
 
Basata ipige marufuku wasanii wote kujihusisha na Siasa kwa namna yoyote ile.
 
Back
Top Bottom