Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo hana msaada kwa Nay Wa Mitego?

Nimefuatilia sakata la Ney wa Mitego na BASATA toka limeanza sijaona kabisa Naibu Waziri akiwa na msada wowote kwa msanii husika. Nini shida, sheria gani aliyovuja Ney kwa wimbo wake wake Nitasema?
Mchumia janga hula na wa kwao, bro. Huyo Ney awaachie Chadema wampambanie.
 
Nimefuatilia sakata la Ney wa Mitego na BASATA toka limeanza sijaona kabisa Naibu Waziri akiwa na msada wowote kwa msanii husika. Nini shida, sheria gani aliyovuja Ney kwa wimbo wake wake Nitasema?
Mwana FA analinda mkeka wake usichanike
 
YAANI AMSAIDIE MHUNI KAMA HUYO KWELI WAZIRI MZIMA? UNAJUWA MPAKA KAWA WAZIR JUWA KICHWAN KUPO VIZURI HAWEZI SHAIBKIA UJINGA MWA MHUNI KAMA HUYO
Tufafanulie sheria iliyovunjwa, vinginevyo wao ndio wahuni, wanavunjaje sheria kwa kumsumbua mtu ambae katumia haki yake ya kikatiba?
 
YAANI AMSAIDIE MHUNI KAMA HUYO KWELI WAZIRI MZIMA? UNAJUWA MPAKA KAWA WAZIR JUWA KICHWAN KUPO VIZURI HAWEZI SHAIBKIA UJINGA MWA MHUNI KAMA HUYO
andika kawaida, herufi kubwa zote zinakera kuzisoma
 
Kutukana tu in general ni vibaya. Wwe unasema tutukane tunaowajua. Kweli ww ni bonge moja ya chopeko ziro brain
Nani kakwambia utukane unao wajua? wewe ni boksi kabisaa , kutukana usio wajua ni utoto, kutukana unao wajua utaamua wewe kuita jina utakalo, jifunze kuelewa sio kusoma
 
Ona sasa umeanika wazi ujinga wako. Una justify matusi. Kwel ww ni bonge moja ya chopeko. Kalagabaho na ushamba wako
 
Back
Top Bottom