Wimbi la ngapi? Mkuu mbona habari za tanzia daima wewe ndio huposti?Taarifa za hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma.
View attachment 1955155
Taarifa kwa kina zinafuata
Kuna uzushi mkubwa zaidi ya kibambikia watu kesi za Ugaidi na kiwatesa hata kuwaua bila sababu?Mkuu unaonekana msomi mbona hivi tena ?!!
Pamoja na uhasimu wa siasa zetu hivi kweli hatuna soni kwa nafsi zetu pale tufanyapo uzushi uliopitiliza?!!!
YetzerHaTov
Alichanja huyooo!!lakini si alichanja au nayeye alikua kwenye kundi moja na sisi tulio chagua laah
Utakufa kwa sumu utakayopewa na majasusi wenzio kupitia .......Tukichanja nyumba kwa nyumba tutakufa?
Hebu funguka zaidi mkuuUkiwa mgonjwa basi kuwa makini sana na Covod 19. Chukua tahadhari zote muhimu.
Jamaa alikuwa na Ngwengwe. Afya yake ni dhoofu, naona wimbi la tatu limeamua tu kummalizia.
Poleni sana. Lakini pia, msisahau kutunza wazazi wenu. Wana baraka na laana ndani ya ndimi zao.
Mzungu wake sijui atabaki na nani
So sad indeed!!. Rest in peace mpiganaji. Tutakukumbuka kwa mengi mema.Taarifa za hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma.
View attachment 1955155
Taarifa kwa kina zinafuata
Ukiwa mgonjwa basi kuwa makini sana na Covod 19. Chukua tahadhari zote muhimu.
Jamaa alikuwa na Ngwengwe. Afya yake ni dhoofu, naona wimbi la tatu limeamua tu kummalizia.
Poleni sana. Lakini pia, msisahau kutunza wazazi wenu. Wana baraka na laana ndani ya ndimi zao.
Mzungu wake sijui atabaki na nani
| School Name/Location | Course/Degree/Award | From | To | Level |
|---|---|---|---|---|
| Pretoria University | LL.M | 2000 | 2001 | Masters Degree |
| University of Dar-es-Salaam | LL.B | 1996 | 1999 | Bachelor Degree |
| Arusha Catholic Seminary High School | ACSEE | 1990 | 1992 | Secondary School |
| Arusha Catholic Seminary Secondary School | CSEE | 1986 | 1989 | Secondary School |
| Kakessio Primary School | CPEE | 1978 | 1984 | Primary School |
Majibu yako post #34Ni nini tena viongozi kuondoka kwa wingi ?
Rest in Peace Dr. William Ole Nasha (MP)
Anaonekana. Nimemuangalia tu nikajua huyu alikuwa na Tanesco.Ukiwa mgonjwa basi kuwa makini sana na Covod 19. Chukua tahadhari zote muhimu.
Jamaa alikuwa na Ngwengwe. Afya yake ni dhoofu, naona wimbi la tatu limeamua tu kummalizia.
Poleni sana. Lakini pia, msisahau kutunza wazazi wenu. Wana baraka na laana ndani ya ndimi zao.
Mzungu wake sijui atabaki na nani
Mkuu Poleni sana huko Ololosokwani Pinyinyi Piyaya na huko Emboreti na PINGOUkiwa mgonjwa basi kuwa makini sana na Covod 19. Chukua tahadhari zote muhimu.
Jamaa alikuwa na Ngwengwe. Afya yake ni dhoofu, naona wimbi la tatu limeamua tu kummalizia.
Poleni sana. Lakini pia, msisahau kutunza wazazi wenu. Wana baraka na laana ndani ya ndimi zao.
Mzungu wake sijui atabaki na nani
Atii Fiktoria ukuye Karatu na yaremahasira yako dadaa yawekee pembeni alo...Anaonekana. Nimemuangalia tu nikajua huyu alikuwa na Tanesco.
Wasivyo na haya usishangae kuona Ridhiwani anaingizwa kundiki.Mungu ampumnzishe kwa amani.Fursa ya kupangua baraza tena.