kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,414
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui Kwa nini chapati za maji huwa hazibishi🙄🙄
Mume huyoTufundishe na sie
Sawa rafiki wacha nimeze tu. 😀😀😀 LolMezeni mate tu hainihusu![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1428334
Hizo za kwenye picha huwa sizipendi,napenda zile zinakandwa na kusukuma
Jioni hii nimejaribu tena kupika chapati zimetoka kama kaukau na chumvi haisikiki kabisaaaaa wakati nakumbuka niliweka,last time kabla ya leo niliweka chumvi kidogo lakini nimeshangaa muda wa kula ilikuwa nyingi sana
Siji kupika chapati tena
keep on trying bebe utaweza tu mbona... yawezekana wakati wa kukanda hukuweka mafuta ya kutosha au wakati wa kuchoma ulipunja mafuta au ulizidisha mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Au aliziacha jikoni muda mrefu. Inabidi aendelee kujaribu jaribu ajue anakosea wapi anakua anarekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshajaribu zaidi ya mara 10
Nimeshajaribu zaidi ya mara 10
Unaandaaje mpaka kupikaHizo za kwenye picha huwa sizipendi,napenda zile zinakandwa na kusukuma
Jioni hii nimejaribu tena kupika chapati zimetoka kama kaukau na chumvi haisikiki kabisaaaaa wakati nakumbuka niliweka,last time kabla ya leo niliweka chumvi kidogo lakini nimeshangaa muda wa kula ilikuwa nyingi sana
Siji kupika chapati tena
🤣🤣🤣
Mezeni mate tu hainihusu![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1428334