avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Wewe ni LIUBA ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni LIUBA ?
Njoo na karo ni kufunzeHizo za kwenye picha huwa sizipendi,napenda zile zinakandwa na kusukuma
Jioni hii nimejaribu tena kupika chapati zimetoka kama kaukau na chumvi haisikiki kabisaaaaa wakati nakumbuka niliweka,last time kabla ya leo niliweka chumvi kidogo lakini nimeshangaa muda wa kula ilikuwa nyingi sana
Siji kupika chapati tena
Kama sh ngapi baba naniliu?
Aaah....wewe tutazungumza tu najua tutapatana.Kama sh ngapi baba naniliu?
Unaweza nini na nini hadi zinatokea kama kwenye picha hapo?mimi nikiweka picha ya chapati niliyopika ni aibu...ni kama kaukau na lazima chumvi iwe nyingi sana ama iwe kidogo sanaaAaah....wewe tutazungumza tu najua tutapatana.
Hahaha....Unaweza nini na nini hadi zinatokea kama kwenye picha hapo?mimi nikiweka picha ya chapati niliyopika ni aibu...ni kama kaukau na lazima chumvi iwe nyingi sana ama iwe kidogo sanaa
Utaniambia means of payment kama nikifanikiwa kuelewa somo
keep on trying bebe utaweza tu mbona... yawezekana wakati wa kukanda hukuweka mafuta ya kutosha au wakati wa kuchoma ulipunja mafuta au ulizidisha mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Chapata kuwa ngumu sana tatzo ni mafuta au maji...?
Mana juzi nmejaribu tatzo Kama ilo limetokea nikahisi labda maji niliweka kidogo...adi naogopa kupika chapata za kusukuma Mana sku ile niliharibu unga wa bimkubwa alimind sanaa
Hahaha....
Naweka kila unachoweka mpendwa..... nadhani unapokosea ni kiasi cha chumvi na mafuta wakati unakanda unga.
Unga unatakiwa kukandwa vizuri na uingiliane saana. Na wakati unakanda weka mafuta ya walau ya kutosha ikitegemea na kiasi cha unga.
Kwanini chumvi usiwe unaonja dough? Si unaonja kisha unatema?
Sema hizi chapati za kukaangaa zimepitwa na wakati...siku hizi watu wanasukuma na kubak na zinakuwa tamu balaa ukilinganisha na hizi za kusukuma na kukaanga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo za kwenye picha huwa sizipendi,napenda zile zinakandwa na kusukuma
Jioni hii nimejaribu tena kupika chapati zimetoka kama kaukau na chumvi haisikiki kabisaaaaa wakati nakumbuka niliweka,last time kabla ya leo niliweka chumvi kidogo lakini nimeshangaa muda wa kula ilikuwa nyingi sana
Siji kupika chapati tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chapati za kusukuma tamu sana ila tu zina kazi.
Zisiwe nene ili ziive vizuri. Ule ikiwa ya motoo 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chapati za kusukuma tamu sana ila tu zina kazi.
Yeah akiwa anapika mwingine ni rahisi sana ila ni kazi siipendi kwakweli.Na shughuli yake inaelekea kunishinda [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ukiona mtu anapika hapo inaonekana rahisiiii
Upishi tu, zaweza kuwa nene(ila si sana) na zikaiva.Zisiwe nene ili ziive vizuri. Ule ikiwa ya motoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah akiwa anapika mwingine ni rahisi sana ila ni kazi siipendi kwakweli.
Zilinisumbua sana hata mimi hadi nilipopata mwalimu mzuri ndio nikaweza. Wanasema chapati ni ukandaji na usiinyime maji na mafuta.
Chapati na samaki?Chaparttiii😋
Raha yake hizo zisiwe nene sana ukipata na mchuzi wa samaki mzito wenye nazi sijui kama utabanduka mezani.
Zikinata inamaana umezidisha maji au haujazikanda zikakandika. Endelea kukanda hadi donge liwe lainiiii.Mimi nikiweka hayo maji ya kutosha naona zinanata mikononi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekubali tu zoezi la chapati ni gumu
Eeh upate samaki mwenye mnofu ka kingfish aungwe na nazi vizuri. Lile chuzi zito ukisindikizia na chapati yako hio lazma uje kunishukuru.Chapati na samaki?