Naifurahia sana fani yangu ya upishi

Naifurahia sana fani yangu ya upishi

Mimi nikiweka hayo maji ya kutosha naona zinanata mikononi [emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekubali tu zoezi la chapati ni gumu
Usizikatie tamaa ivo.Na mi nlikua napika zinatoka ngumu,nkaamua kuwa napika kila wiki mara moja.Huwezi amini sa hivi nazipika bila shida zinakua laini vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chapati kuwa ngumu yawezekana wakati wa ukandaji hukukanda unga vizuri, au baada ya kukanda hukuaacha walau dakika 20 zile za kuupa nafasi kulainika vizuri, au wakati wa kuchoma ulichoma na mafuta meengi ama mafuta kidogo ndo maana zikawa ngumu.

hivyo ili kugundua hilo next time jaribu kua makini
ukiwa unakanda kanda unga ulainike vizuri then uache kwa dakika kadhaa ata 20 au nusu saa unasaidia kulainisha zaidi, then wakat wa kuchoma hakikisha huzidish wala hupunji mafuta, moto usiwe mwingi usiwe mdogo..

Au try this way wakati wa kukanda weka walau vijiko viwili au vitatu vya maziwa mtindi itasaidia chapati zako zitakua laini, zitachambuka na taste yake ni nzuri mnooo (ila uwe makini usiweke maji mengi sana )


Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya kuweka mtindi nliiskia mahali,na hapa nimeona tena.Ntajaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua unga wa ngano na maji kiasi kulingana na unga wako,maji yawe ya vugu vugu,weka hamira kama utapenda,miminia unga wako,chumvi kidogo,weka mafuta ya chakula kiasi,then anza kuchanganya changanya mpka uhakikishe hakuna mabonge ya unga,pia ukitaka chapati ziwe laini sana pia weka mayai kadhaa..baada ya hapo tengeneze vinyunga anza kukanda kupata umbo la chapati uipendayo. Kisha choma chapati ulizoandaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilikuwa namuuliza yy Mimi chapati nazijua tena za kurasa[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom