Naifurahia sana fani yangu ya upishi

Hizo za kwenye picha huwa sizipendi,napenda zile zinakandwa na kusukuma

Jioni hii nimejaribu tena kupika chapati zimetoka kama kaukau na chumvi haisikiki kabisaaaaa wakati nakumbuka niliweka,last time kabla ya leo niliweka chumvi kidogo lakini nimeshangaa muda wa kula ilikuwa nyingi sana

Siji kupika chapati tena
 

keep on trying bebe utaweza tu mbona... yawezekana wakati wa kukanda hukuweka mafuta ya kutosha au wakati wa kuchoma ulipunja mafuta au ulizidisha mafuta


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaandaaje mpaka kupika


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…