Naifurahia sana fani yangu ya upishi

Mimi nikiweka hayo maji ya kutosha naona zinanata mikononi [emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekubali tu zoezi la chapati ni gumu
Usizikatie tamaa ivo.Na mi nlikua napika zinatoka ngumu,nkaamua kuwa napika kila wiki mara moja.Huwezi amini sa hivi nazipika bila shida zinakua laini vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya kuweka mtindi nliiskia mahali,na hapa nimeona tena.Ntajaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilikuwa namuuliza yy Mimi chapati nazijua tena za kurasa[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…