Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
wakuu
Hii team naionea huruma sana kwa yanayoenda kuipata msimu huu.
Usajiri wao ni mbovu asilimia mia walipopatia angalau ni kwa yule winga kramo .
Kituko zaidi ni huyu kipa muuza matango kule kwao Brazil, hivi mpo serious kweli viongozi kutuletea huyu mtu?
Mbona musonda atakuwa anaondoka na mipira kila mechi? Yaani nj mama mdangaji tu kila mwenye hela anagegedua..!
Nashauri wachezaji make huko huko msirudi huku maana kitawakuta kikubwa.
Hata hiyo simba day yenyewe inaenda kudoda kiasi kikubwa sanaaaa! Maana mashabiki tumekata tamaa na team yetu mpaka bosi wetu nae kakata tamaa..!
Simba msirudi huko Uturuki..plz.