Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
na liliwakera sana. Tena ilikuwa iwe 3-0 kama si refa kukataa goli lingine la Kibu DengaNa hilo ndio kombe mlilipata pekee ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na liliwakera sana. Tena ilikuwa iwe 3-0 kama si refa kukataa goli lingine la Kibu DengaNa hilo ndio kombe mlilipata pekee ..
Vipi...imezama yote au??Aisii
Tangu Utopolo walipoanza kumiliki makombe yote Mbumbumbu fc wamebaki na matusi tu, Yani wanatukana haswa, kweli kushindwa kubaya sana!Vipi...imezama yote au??
Mbona aisiii!!!! Kama inauma chomoa
Mechi ya liver na Barcelona Trent anapiga kona Origi anafunga refa alipuliza filimbi au kona ilipigwa bila firimbi?Ile si derby, refa wa mchongo maana Simba haikuwa Tena na Cha kuonesha Yanga ilishabeba kombe na morali ya wachezaji haikuwa kiviiiile!
Goli la kwanza la mchongo lilitokana na Kona isiyo halali mpira aliutoa mchezaji wa Kolokoloni na Kona ikapigwa bila filimbi ya refa aliekuwa akipanga wachezaji, Simba ilivizia Yanga hawajajipanga wakapiga Kona na kufunga hebu angalia EPL utaona mshika kibendera anakaa mbele ya mpira Kona isipigwe hadi refa aruhusu ila derby ya maiti haikufuata Hilo!
Kibu D alifunga baada ya Yanga kutokuwa mchezoni, Wala wachezaji hawakununa! Goli la kawaida sana Diarra alikuwa katoka, ushindi wa mchongo ule hata haukumuuma Utopolo yoyote ! Kibu D alifunga nje tu ya 18 ila Feisal kule Kirumba lile goli la kutoka katikati ya uwanja halijalipwa mbona we msahaulifu sana jombaa! Lile goli liliwauma mno mkaanza fitna na mkahahikisha dogo hachezi tena Utopoloni, mbona Sisi hatuna shida na Kibu, goli la kawaida tu! Basi Mbumbumbu mmejisiifu mwaka mzima hata kombe la kuku hamna!
Maneno meeeenggiiiiii mlipigwa tu.Ile si derby, refa wa mchongo maana Simba haikuwa Tena na Cha kuonesha Yanga ilishabeba kombe na morali ya wachezaji haikuwa kiviiiile!
Goli la kwanza la mchongo lilitokana na Kona isiyo halali mpira aliutoa mchezaji wa Kolokoloni na Kona ikapigwa bila filimbi ya refa aliekuwa akipanga wachezaji, Simba ilivizia Yanga hawajajipanga wakapiga Kona na kufunga hebu angalia EPL utaona mshika kibendera anakaa mbele ya mpira Kona isipigwe hadi refa aruhusu ila derby ya maiti haikufuata Hilo!
Kibu D alifunga baada ya Yanga kutokuwa mchezoni, Wala wachezaji hawakununa! Goli la kawaida sana Diarra alikuwa katoka, ushindi wa mchongo ule hata haukumuuma Utopolo yoyote ! Kibu D alifunga nje tu ya 18 ila Feisal kule Kirumba lile goli la kutoka katikati ya uwanja halijalipwa mbona we msahaulifu sana jombaa! Lile goli liliwauma mno mkaanza fitna na mkahahikisha dogo hachezi tena Utopoloni, mbona Sisi hatuna shida na Kibu, goli la kawaida tu! Basi Mbumbumbu mmejisiifu mwaka mzima hata kombe la kuku hamna!
Ile si derby, refa wa mchongo maana Simba haikuwa Tena na Cha kuonesha Yanga ilishabeba kombe na morali ya wachezaji haikuwa kiviiiile!
Goli la kwanza la mchongo lilitokana na Kona isiyo halali mpira aliutoa mchezaji wa Kolokoloni na Kona ikapigwa bila filimbi ya refa aliekuwa akipanga wachezaji, Simba ilivizia Yanga hawajajipanga wakapiga Kona na kufunga hebu angalia EPL utaona mshika kibendera anakaa mbele ya mpira Kona isipigwe hadi refa aruhusu ila derby ya maiti haikufuata Hilo!
Kibu D alifunga baada ya Yanga kutokuwa mchezoni, Wala wachezaji hawakununa! Goli la kawaida sana Diarra alikuwa katoka, ushindi wa mchongo ule hata haukumuuma Utopolo yoyote ! Kibu D alifunga nje tu ya 18 ila Feisal kule Kirumba lile goli la kutoka katikati ya uwanja halijalipwa mbona we msahaulifu sana jombaa! Lile goli liliwauma mno mkaanza fitna na mkahahikisha dogo hachezi tena Utopoloni, mbona Sisi hatuna shida na Kibu, goli la kawaida tu! Basi Mbumbumbu mmejisiifu mwaka mzima hata kombe la kuku hamna!
Unaishi ulimwengu wa kukariri.wakuu
Hii team naionea huruma sana kwa yanayoenda kuipata msimu huu.
Usajiri wao ni mbovu asilimia mia walipopatia angalau ni kwa yule winga kramo .
Kituko zaidi ni huyu kipa muuza matango kule kwao Brazil, hivi mpo serious kweli viongozi kutuletea huyu mtu?
Mbona musonda atakuwa anaondoka na mipira kila mechi? Yaani nj mama mdangaji tu kila mwenye hela anagegedua..!
Nashauri wachezaji make huko huko msirudi huku maana kitawakuta kikubwa.
Hata hiyo simba day yenyewe inaenda kudoda kiasi kikubwa sanaaaa! Maana mashabiki tumekata tamaa na team yetu mpaka bosi wetu nae kakata tamaa..!
Simba msirudi huko Uturuki..plz.