Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Utakuwa we gongowazi aka utupolo bila shakawakuu
Hii team naionea huruma sana kwa yanayoenda kuipata msimu huu.
Usajiri wao ni mbovu asilimia mia walipopatia angalau ni kwa yule winga kramo .
Kituko zaidi ni huyu kipa muuza matango kule kwao Brazil, hivi mpo serious kweli viongozi kutuletea huyu mtu?
Mbona musonda atakuwa anaondoka na mipira kila mechi? Yaani nj mama mdangaji tu kila mwenye hela anagegedua..!
Nashauri wachezaji make huko huko msirudi huku maana kitawakuta kikubwa.
Hata hiyo simba day yenyewe inaenda kudoda kiasi kikubwa sanaaaa! Maana mashabiki tumekata tamaa na team yetu mpaka bosi wetu nae kakata tamaa..!
Simba msirudi huko Uturuki..plz.
Patheticwakuu

Musonda alikuwepo wakati mnakandwa 2-0 na Kibu DengaMbona musonda atakuwa anaondoka na mipira kila mechi? Yaani nj mama mdangaji tu kila mwenye hela anagegedua..!
Kusema. Ukweli ndo niitwe gongowaziUtakuwa we gongowazi aka utupolo bila shaka
Mtakuja kusema Mimi mchawi hapaKikubwa Tu huu Uzi usifutwe tuna siku chache Tu kabla ya Ligi kuanza
Wananitupia mawe kisa tu ukweliUmewaambia ukweli! Itawasaidia kujifariji wanapokandwa!
Na hilo ndio kombe mlilipata pekee ..
Ile si derby, refa wa mchongo maana Simba haikuwa Tena na Cha kuonesha Yanga ilishabeba kombe na morali ya wachezaji haikuwa kiviiiile!
Wapiga ramli au🤣 acha kuteseka nduguwakuu
Hii team naionea huruma sana kwa yanayoenda kuipata msimu huu.
Usajiri wao ni mbovu asilimia mia walipopatia angalau ni kwa yule winga kramo .
Kituko zaidi ni huyu kipa muuza matango kule kwao Brazil, hivi mpo serious kweli viongozi kutuletea huyu mtu?
Mbona musonda atakuwa anaondoka na mipira kila mechi? Yaani nj mama mdangaji tu kila mwenye hela anagegedua..!
Nashauri wachezaji make huko huko msirudi huku maana kitawakuta kikubwa.
Hata hiyo simba day yenyewe inaenda kudoda kiasi kikubwa sanaaaa! Maana mashabiki tumekata tamaa na team yetu mpaka bosi wetu nae kakata tamaa..!
Simba msirudi huko Uturuki..plz.
Wewe ndio una akili timamu mkuuMimi ni Mpenzi WA Simba.
MADA yako ni nzuri ila Jitahidi kuandika bila USHABIKI na unazi
Na ujifunze KUWA na uwasilishaji mzuri WA MADA..
Kuna Makosa mengi mno kwenye USAJILI WA Simba.
1. Binafsi sijawahi kuwa na Imani na wachezaji wa Nje ya Africa wanaokuja kucheza AFRIKA.
Mfano.
.Thairone Santos.
.Silver.
.Flaga.
DEJAN
Sijajua kwanini Simba WANAFANYA Hivi, INAWEZEKANA wanaiga VILABU VIKUBWA AFRIKA kama MAMelody.
PUNGUZENI WINGA Mmuongeze Bangala kama kiungo na Beki.
2. MANURA ATARUDI si Muda Mrefu.
Gharama walizoingia kwa huyo KIPA mala mia wangembakisha kakolanya.
Otherwise mashindano ni mengi kiungo na Beki hazitoshi.
Kojoa ukalale.wakuu
Hii team naionea huruma sana kwa yanayoenda kuipata msimu huu.
Usajiri wao ni mbovu asilimia mia walipopatia angalau ni kwa yule winga kramo .
Kituko zaidi ni huyu kipa muuza matango kule kwao Brazil, hivi mpo serious kweli viongozi kutuletea huyu mtu?
Mbona musonda atakuwa anaondoka na mipira kila mechi? Yaani nj mama mdangaji tu kila mwenye hela anagegedua..!
Nashauri wachezaji make huko huko msirudi huku maana kitawakuta kikubwa.
Hata hiyo simba day yenyewe inaenda kudoda kiasi kikubwa sanaaaa! Maana mashabiki tumekata tamaa na team yetu mpaka bosi wetu nae kakata tamaa..!
Simba msirudi huko Uturuki..plz.
TakatakaKojoa ukalale.
Mwiko nyuma ushakuvuruga😂😂
Maelezo mengi kumbe ni upuuziIle si derby, refa wa mchongo maana Simba haikuwa Tena na Cha kuonesha Yanga ilishabeba kombe na morali ya wachezaji haikuwa kiviiiile!
Goli la kwanza la mchongo lilitokana na Kona isiyo halali mpira aliutoa mchezaji wa Kolokoloni na Kona ikapigwa bila filimbi ya refa aliekuwa akipanga wachezaji, Simba ilivizia Yanga hawajajipanga wakapiga Kona na kufunga hebu angalia EPL utaona mshika kibendera anakaa mbele ya mpira Kona isipigwe hadi refa aruhusu ila derby ya maiti haikufuata Hilo!
Kibu D alifunga baada ya Yanga kutokuwa mchezoni, Wala wachezaji hawakununa! Goli la kawaida sana Diarra alikuwa katoka, ushindi wa mchongo ule hata haukumuuma Utopolo yoyote ! Kibu D alifunga nje tu ya 18 ila Feisal kule Kirumba lile goli la kutoka katikati ya uwanja halijalipwa mbona we msahaulifu sana jombaa! Lile goli liliwauma mno mkaanza fitna na mkahahikisha dogo hachezi tena Utopoloni, mbona Sisi hatuna shida na Kibu, goli la kawaida tu! Basi Mbumbumbu mmejisiifu mwaka mzima hata kombe la kuku hamna!
Walienda wapi? 😁Kibu D alifunga baada ya Yanga kutokuwa mchezoni,