Akikujibu naomba uni tagPascal Mayalla,
Inawezekana CHADEMA wakawa hawajitambui lakini jee wale waliozuia mikutano ya vyama mbadala wanajitambua?
Kishakupiga goli ngapi so far ?Nasimama na Mwambe .
Uchaguzi ni wa CHADEMA nyie ma-CCM nini kinawahusu apo,nyie mwenyekiti wenu si huwa anapita bila kupingwa?
Iko hiviMayala ni mmoja wa makanjanja ambao nimegundua ni zezeta kuliko Profedha Kibudi.
Shame on you
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunalilia Demokrasia lakini haya ndiyo mazingira na uhalisia ,Kishakupiga goli ngapi so far ?
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Mwambe hana kosa,kwani ilikuwa lazima ashinde ?Tunalilia Demokrasia lakini haya ndiyo mazingira na uhalisia ,
Kosa la Mwambe ni nini hasa?
Uzuri ni kwamba hata yeye hakutegemea kushinda kutokana na mazingira ya Uchaguzi..Mwambe hana kosa,kwani ilikuwa lazima ashinde ?
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
JPM kaanza kuwa Rais lini kamanda?halikuwaje kabla yeye hajawa raisi?Hawapati sio kwasababu hawana watu wa kuwapa kura za kutosha, ila ni kwakuwa rais hapa nchini ni Mungu na anaweza kuamua nani atangazwe mshindi. Kwa hiyo hapo huna la kujisifia kama ccm, bali sifia katiba mbovu inayoruhusu rais kufanya utashi wake kuwa ndio matakwa ya umma.
JPM kaanza kuwa Rais lini kamanda?halikuwaje kabla yeye hajawa raisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakiri nilidhani namfahamu Mwambe, kumbe I was wrong!. Just imagine kama mtu kama huyu ndiye angekuwa Mwenyekiti wa Chadema!.
I was terribly wrong, nisameheni!.
P
Nakiri nilidhani namfahamu Mwambe, kumbe I was wrong!. Just imagine kama mtu kama huyu ndiye angekuwa Mwenyekiti wa Chadema!.
I was terribly wrong, nisameheni!.
P