Naim Qassem ateuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha kigaidi Hezbollah

Huyu akidumu katika hayo Madaraka kwa miezi 6 ijayo bila Kuuliwa na Wababe wa Vita Mashariki na Kati Israeli basi Nataukweka (Natakunya) Mubashara kabisa kuanzia hapa Kampala hadi huko / kule Dodoma.
Hakuna mfano mzuri zaidi ya kunya mkuu??
 
Tabu iko pale pale
 
Mkuu hao mbona walishajiandaa kufa kuliko wewe au Natenyahu alivyojianfaa kuishi?
Hata mimi ningekuwa nina assurance ya bikra 72 wenye macho kama goroli na uwezo wa ku'DO na wanawake 100 yaani excess ya 28, plus mito ya hennessy, castle lite n.k ningejiandaa kufa tena nisngejificha kwenye mahandaki ningeenda front kabisa.
 
Kazi ngumu kuliko zote duniani kwa Sasa, Yuko kwenye kilengeo tyr huyo
 
Nyinyi mnaosema ameshajikatia tiket yake ya kwenda kuzimu mnadhani hao wazayuni hawamjui uyo jamaa kama ni mmoja wa wahusika wa ilo kundi ???

Mnadhani anatokea tu mtu from no where na kuwa kongozi wa ilo kundi ?
Sasa mbona ameteuliwa huoni kama hayo ni majukumu mapya?tafsri yake ni mumemuua yule tunawaletea huyu,usichoelewa kipi hapo?
 
Myahudi anavyo kata roho za viongozi wa magaidi huyu mzee ajiandae na wosia wake aandae kabisa
 
Yote uliyosema hapa juu yangu yanamuhusu pia Mama yako Mzazi kwa 100%
Hivi wewe dogo maisha uswahilini happ kawe ukwamani ndio yamekuharibu hivyo?! Nasikitik ulikuwa dogo mwema..
Nitafute nikusaidie
 
Ngoja Mossad waanze kuTarget ndevu hizo hivi karibuni tu utasikia....

"Aliyekuwa kiongozi wa Hezbollah amefariki katika mlipuko Mkubwa wa Bomu huko Tehran"
 
B
Bora mnge kaa kimya..
Msinge mtambulisha Babu wawatu mda simrefu, atakuwa kwa Allah anatafuna mbususu 72 slid
 
Hivi wewe dogo maisha uswahilini happ kawe ukwamani ndio yamekuharibu hivyo?! Nasikitik ulikuwa dogo mwema..
Nitafute nikusaidie
Kaanze kwanza Kumsaidia yule Basha wako Anayekubenjua Kutwa akipona ndipo uje Kwangu unisaidie baada ya Mimi Kukubenjua vile vile sawa?

Endelea na Endeleeni tu Wapumbavu Kukariri kuwa GENTAMYCINE nipo Kawe na kwamba Maisha yangu ni yale yale ama mliyoyazoea au mnayodhani niko nayo.

Shughuli Kubwa ya Kiheshima kwa Afrika Mashariki (ninayoifanya hapa nchini Uganda) nina uhakika itawafungeni Midomo yenu Wapumbavu, Wanafiki na Wachawi wote nikiikamilisha kwa awamu ya Kwanza mwaka 2026 na kwa awamu ya Pili mwaka 2028 na huenda nitaendelea nayo hadi mwaka 2030 na kama Muhoozi akija kuwa Rais wa Uganda nitakuwa nae kwa Majukumu mengine kwa muhula wake wa Kwamba wa kuanzia mwaka 2031 hadi mwaka 2036.

Nakuomba itunze hii Post yangu GENTAMYCINE na ukiweza pia Isambaze kwa Wapumbavu, Wanafiki na Wachawi wenzako na nawaombeni kamwe msiache kuendelea Kunidharau Kwenu na Kukariri kuwa GENTAMYCINE ni yule yule Kimaisha kwa sasa.

Nilishahama Kawe tokea Mwezi February tarehe 18 mwaka huu wa 2024 na kwa Kujiamini kabisa nilitangaza hapa hapa JamiiForums na karibia 85% ya Members wenye Akili timamu (siyo Wendawazimu kama Wewe)

Nipo nchini Uganda (tokea tarehe 9 April, 2024 na niliwaaga tena hapa hapa JamiiForums) kwa Kazi Maalum ya Kuiheshimisha Tanzania yangu na Uganda kutokana na Undugu wetu wa Kihistoria (wa nchi kwa nchi) na wa Kifamilia baina yangu na Familia ya Rais Museveni ila cha Kushangaza bado kuna Mwendawazimu Mmoja amebaki Kukariri kuwa nipo Kawe na Tanzania.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE a.k.a "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na Kiumbe ambaye Mwenyezi Mungu kanionyesha Maajabu yake makubwa mno Maishani mwangu na ndiyo maana sitoacha Kumuabudu na Kumshukuru daima.

Nimemaliza.
 
Meanwhile Kuna dude ili hapa linapikwa, wazee wa kupauka miguu kazi wanayo.
"....and America wants one" Halafu kuna sisi wa kwa Mtogole na kwa mfuga Mbwa tuna amini eti Israel anapewa kila kitu na Marekani; while Marekani mwenyewe ana hitaji some weapons from Israel. Dunia ina siri zake nyingi sana. Yawezekana ndio sababu USA anaikumbatia sana Israel, anafaidika nayo pakubwa.
 
Wazee tu mbona a
 
Mtu akisema kuwa Uwezo wa Israel upo katika kupewa msaada Na US, mpuuze,kama Dunia inavyowapuuza flat earthers.
Afriganstan ilijengwa kwa Muda wa miaka 20 na US, karibu kila ya aina ya Silaha ilipatiwa Lakini Taliban walikuja na AK47 tu wakachukua Nchi.
Sasa kwanini hiyo misaada haikufanya kazi kwa Afriganstan!.
Israel ikiwa Nchi kabisa ilivamia na Nchi za Kiarabu lakini haikupoteza Mamlaka yake ,na matokeo yake mipaka yake ikaongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…