Naingia gharama za uzinzi niliofanya mwezi huu

Naingia gharama za uzinzi niliofanya mwezi huu

Kiukweli huu mwezi nimejikuta nina akshi za aina yake baada ya kwenda almost 2 months no fap. Nilimepambana kusaka mbususu nikazipata kama 3 ivi nimezichakata Kwa awamu Kila mtu Kwa mda wake.

Mtiti umeanza pisi ya kwanza inaniambia imemiss period
Ya pili pia
Nasubiri ya tatu Sasa[emoji3]
Pesa za p2 (lenovogestrel) wamekula
Nikakaa na kufikiri hivi umeoa zako ukanakula mbususu ya mkeo yaani safi
Hii kataa ndoa nayo ni uchwara tu nitasaliti chama apa Malaki kibao yanaenda kunitoka
[emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji706]
Faida ya kuoa ni kwa watu kama wewe ...maana unakuta chai tu na mkate wa siagi mezani mke kakuwekea baada ya mabuzi wake kumuonga ...kijana mtanashati kama wewe unajisogeza tu kunywa chai kwa raha mstarehe[emoji1787][emoji1787] mkeo kazi yake ni kutingisha tu tako akiwa barabarani mabaharia wanamgongea " dada unakula chip nikununulie ....yeye anajibu ndiyo na kidali ila ninaye mdogo wangu wa kike nyumbani anaitwa Asha kama unataka tupige story nunua sahani mbili ili nikifika nyumbani nisipike . Kumbe huyo Asha ndiyo wewe ....baadae mke anakuletea chips zako
 
Aise haya Sasa matusi
 
Bila shaka kuna mbinu mpya imeingia ya kupiga hela za wanaume pasipo sie kujua

Mke wangu(yupo mbali kidogo na mimi kama km 30 hv,huwa naenda kumuona mara moja moja),huwa kuna mtu huwa anampa taarifa zangu zote kwa ninayoyafanya hasa ya wanawake.
Alishawahi niambia kuwa utakuja kusingiziwa mimba nyingi tu zingine hata zisizo kuwa zako

Na kweli bhana toka aniambie hata hazijapita miezi mingi nikajikuta naambiwa na wanawake wawili tofauti eti wanamimba na huyo mmoja baada ya kumaliza mambo yetu nilimpa p2 akaenda kumeza kwao lakin akaniambia eti kapata mimba

Hawa wanawake wote wawili mpaka kuzichomoa hzo mimba nimetumia almost 200,000 maana zilisumbua sana kutoka,kwahyo nikaanza na kuhudumia kuridisha mwili vizur mpaka sasa nimekoma,nimeanza mchakato wa kuwaacha taratibu ni baki na mke wangu tu

Kuna mwingine nimemaliza kumla wiki chache zilizopita nae nasubir kuambiwa kama amenasa maana alinishitukiza na game ya usiku sana na kondom sikuwa nazo nae hakuwa na pakulala na nilishindwa kumuacha lodge peke yake
Huyo wa mwisho huruma imekuponza
 
Kiukweli huu mwezi nimejikuta nina akshi za aina yake baada ya kwenda almost 2 months no fap. Nilimepambana kusaka mbususu nikazipata kama 3 ivi nimezichakata Kwa awamu Kila mtu Kwa mda wake.

Mtiti umeanza pisi ya kwanza inaniambia imemiss period
Ya pili pia
Nasubiri ya tatu Sasa😀
Pesa za p2 (lenovogestrel) wamekula
Nikakaa na kufikiri hivi umeoa zako ukanakula mbususu ya mkeo yaani safi
Hii kataa ndoa nayo ni uchwara tu nitasaliti chama apa Malaki kibao yanaenda kunitoka
😬😬😬
🚮
Ukioa mwenye maji mengi utarudi kwa pisi mwenyewe. Kwani waliooa wametolia?
 
Mhm!labda mimba zamabosi lakini mimba haswa ya Dulla,Roja,Maiko,Fred,Juma wauku kwetu izo nizakuchochea uchungu TU Mpaka upate Ile....kit au usafishe
 
Kijana usifanye kosa la kuoa. Hawa wanawake ni kama mkopani tuu. Full adabu kabla ya kupata hiyo pete. Ukishamuoa ndio utajua true colours zake. Yaani utashangaa mwenyewe na roho yako. Hizo garama mbona ndongo ukilinganisha na kukosa uhuru wako, kulilisha jitu zima lenye miguu na mikono miwili, kuoangiwa siku ya kula mbususu.
Fear women my friend. They are a weapon of mass destruction!
Mkuu hivi wanawake walikifanyia nini?
 
Mkuu hivi wanawake walikifanyia nini?
Kwanza usinikumbushe machungu mzeya wikend hii tule gambe kwnza🤣🤣🤣🤣

Nitafute jtatu nitakupa full mkanda jtanielewa. Ila leo wikend am wana be happpyyyyyy
 
Kiukweli huu mwezi nimejikuta nina akshi za aina yake baada ya kwenda almost 2 months no fap. Nilimepambana kusaka mbususu nikazipata kama 3 ivi nimezichakata Kwa awamu Kila mtu Kwa mda wake.

Mtiti umeanza pisi ya kwanza inaniambia imemiss period
Ya pili pia
Nasubiri ya tatu Sasa[emoji3]
Pesa za p2 (lenovogestrel) wamekula
Nikakaa na kufikiri hivi umeoa zako ukanakula mbususu ya mkeo yaani safi
Hii kataa ndoa nayo ni uchwara tu nitasaliti chama apa Malaki kibao yanaenda kunitoka
[emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji706]
Jitahidi utumie condom,...."Transactional sexual workers"......is among the most common ways of H.I.V transmission nowdays........na hii ni hatari,maana hufanywa na wake za watu,wafanyakazi etc......ni more emotional,traditional,social than financially
 
Back
Top Bottom