Naingia kwenye mahusiano na mapacha mara kwa mara, kitaalamu ipoje hii?

Naingia kwenye mahusiano na mapacha mara kwa mara, kitaalamu ipoje hii?

Hiyo inaitwa twinsphobia. Huwa inasababishwa na nyota ya phares na kimbosinys.

Kwa wale wanaotamani na wao kuvutia mapacha kwenye mausiano yao, fanya hivi÷

1,usiku wa manane kwenye saa nane kamili usiku amka, chukua kioo kikubwa, vua nguo zote, weka maji koroga na chumvi pact moja, maji ya chumvi mimina kwenye beseni weka mbele ya kioo.

2, simama ndani ya beseni lenye maji ya chumvi ukiwa uchi, panua mikono ukiwa unaangalia juu.

3, kaa ndani ya beseni ukiangaliaa juu lisaa limoja alafu lala kifudifudi.

Kesho utaanza kuona ishara. Zingatia sana ishara
huu uchawi sasa
 
Back
Top Bottom