Naingia Shambani very serious kulima Alizeti

Hongera sana tu

Hicho ndi kilimo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
nikiamua kununua kipindi hiki na kukamua mafuta kabisa,ili nipunguze gharama za kuhifadhi,je! mafuta yataharibika ifikapo kipindi cha kuadimika kwake!??
 
Ya kiwanda gani hawa? Simgida Fresh oil au Misuna?

Singida viwanda vipo kibao boss

Kujua mkulima kachujia wapi umuulize mwenyewe

Mimi nakobolea kiwanda cha karibu na mazingira yangu.
 
nikiamua kununua kipindi hiki na kukamua mafuta kabisa,ili nipunguze gharama za kuhifadhi,je! mafuta yataharibika ifikapo kipindi cha kuadimika kwake!??

Hayawezi kuharibika mkuu
Mafuta yana uwezo wa kukaa muda mrefu sana
 
nikiamua kununua kipindi hiki na kukamua mafuta kabisa,ili nipunguze gharama za kuhifadhi,je! mafuta yataharibika ifikapo kipindi cha kuadimika kwake!??

Uhifadhi kwenye madumu mapya yatakaa muda mrefu tu.
 
Hongera sana kiongozi.
 
Haya mashamba ya kwenye vitabu mie nayaogopa sana kiongozi.
 
Jaman nina Trekta mbili saafi kabisa zipo arusha... kwa mwenye shamba aseme alipo tulime mwakani... piga 0763477578
 
Mkuu umepambana Sana kk sorry naweza kupata Namba Yako ya cm Mkuu Niko Arusha kk 0756 778 158 nicheki Kwa Hio kk
 
Nimepata jumla ya gunia 92..........wastani wa gunia 4.6 kwa eka

Kwa sasa gunia la alizeti linauzwa 90,000(i hope litafika 150,000)
Kwa alizeti unazungumzia gunia la debe ngapi? 6/7/9 nataka nijue bei ya debedebe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…