Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbegu za serikali zipo lkn ni OPV kama vile Record na nyinginezo bei yake itakuwa kati ya 3500-6000Uyo wa mbegu kanitisha..
Mbegu 1kg 40k..
Hakuna taarifa yyte kuhusu zile mbegu za serikali?
Mkuu nashukuru kwa ushauri haswa hapo kwenye muda wa paliziMkuu naomba nikushauri kitu Cha muhimu naomba uweke vibalua wa kuhamia ndege maana ndege hupunguza mavuno kwa asilimia 35- 80% ivyo jitahidi kuwa makini maana utalima eneo la mbugani kwaiyo ndege itakuwa ni tatizo kwa upande wako
Pia kuhusu palizi ni kwanzia week ya pili hadi ya sita toka kupanda
Kuhusu mbegu Kuna aina mbili moja inatoa mafuta mengi lkn mavuno madogo lkn nyingine mavuno mengi lkn mafuta kidogo kwaiyo inabidi uchague kutokana na soko lako
Jamaa kaweka kitabu kizuri hapo..nimepitia nimeona hii hysun ni hybrid...Mkuu nashukuru kwa ushauri haswa hapo kwenye muda wa palizi
Huku ndege sio tatizo sana labda kuna misimu wanazuka ndege wengi, lakini marachache
Kuhusu mbegu bado sijaamua vizuri sababu nataka kukamua na kuuza mafuta na mashudu na sio kuuza alizeti
Nimeambiwa Hysun 33 ina mafuta ya kutosha sana.......... unaionaje?
Kuna mtu ana alizeti hii Hysun kama gunia 10 hivi lakini imetumika mara moja, yaani alinunua mwaka jana akaipanda na ameivuna, naweza kuitumia hii au nizame tu dukani elf35 per kilo 2
Kwa biashara ya mafuta NUNUA MBEGU YA HYESUN HUTAJUTAMkuu nashukuru kwa ushauri haswa hapo kwenye muda wa palizi
Huku ndege sio tatizo sana labda kuna misimu wanazuka ndege wengi, lakini marachache
Kuhusu mbegu bado sijaamua vizuri sababu nataka kukamua na kuuza mafuta na mashudu na sio kuuza alizeti
Nimeambiwa Hysun 33 ina mafuta ya kutosha sana.......... unaionaje?
Kuna mtu ana alizeti hii Hysun kama gunia 10 hivi lakini imetumika mara moja, yaani alinunua mwaka jana akaipanda na ameivuna, naweza kuitumia hii au nizame tu dukani elf35 per kilo 2
Mkuu kuhusu kununua iyo mbegu kwa jamaa yako sikushauli kufanya ivyo ipo ivi mbegu za Hybrid ikiwemo hysun 33 huwa ailuhusiwi kupandwa zaidi ya mala moja maana ni hybrid kwa sababu azitegemei wadudu katika uchavushaji ( closed pollination ) ivyo Mkuu ni Bora ukanunua dukani ambayo ni mpya kabisa kuliko kufanya ivyo maana bei yake ni 35000Mkuu nashukuru kwa ushauri haswa hapo kwenye muda wa palizi
Huku ndege sio tatizo sana labda kuna misimu wanazuka ndege wengi, lakini marachache
Kuhusu mbegu bado sijaamua vizuri sababu nataka kukamua na kuuza mafuta na mashudu na sio kuuza alizeti
Nimeambiwa Hysun 33 ina mafuta ya kutosha sana.......... unaionaje?
Kuna mtu ana alizeti hii Hysun kama gunia 10 hivi lakini imetumika mara moja, yaani alinunua mwaka jana akaipanda na ameivuna, naweza kuitumia hii au nizame tu dukani elf35 per kilo 2
Mrejesho huwa ni siri ndugu yanguMwakani mwezi kama huu ulete mrejesho hapa.
Shida sio jembe shida ni elimu ya kile unachokilima ujue kinataka nini na kwa mda gani ujue ni mda upi ni sahihi kulima mda upi hutakiwi kulima.Jembe la mkono halimkomboi mkulima, tumia zana za kisasa za kilimo
Kwa Dom wanauzia wapi mkuuMLETA MADA KANUNUE MBEGU SERIKALINI BEI RAHISI HIZO HIZO KINA HYESUN N.K
Nami nimeelekezwa wanauzia Ofisi za kilimo kule karibu VETA Ila nami natarajia Leo ndo Ni lakini pia Kuna Pixus wapo kizota na chamwino Ikulu wanatoa mbengu free takutumia namba uwachekiKwa Dom wanauzia wapi mkuu
Nitakushuru sana mkuu.Nami nimeelekezwa wanauzia Ofisi za kilimo kule karibu VETA Ila nami natarajia Leo ndo Ni lakini pia Kuna Pixus wapo kizota na chamwino Ikulu wanatoa mbengu free takutumia namba uwacheki
Inaitwaje hiyo mbegu kuna mbegu ilijadiliwa sana humu nautafuta ule uzi siuoni nazan ndio hiyo mana naona bei zinaendana
Mkuu kuhusu kununua iyo mbegu kwa jamaa yako sikushauli kufanya ivyo ipo ivi mbegu za Hybrid ikiwemo hysun 33 huwa ailuhusiwi kupandwa zaidi ya mala moja maana ni hybrid kwa sababu azitegemei wadudu katika uchavushaji ( closed pollination ) ivyo Mkuu ni Bora ukanunua dukani ambayo ni mpya kabisa kuliko kufanya ivyo maana bei yake ni 35000
Nibora ukanunua OPV kama vile Rocord maana inategemea wadudu kwenye uchavushaji kama utaona ni gharama kwasababu inauwaza 6000-12000
Lkn kama unataka mafuta mengi tumia mbegu ya Agwara 4 kwasababu gunia la 65kg linatoa 31-34 Liter za mafuta Wakati Hysun 33 inatoa 29-31 Liter za mafuta kwaiyo Agwara ipo poa
Lkn Mkuu shida ipo kwenye machine za ukamuaji unakuta umeme ni mdogo pia shaft ijachomwa kwa wakati sahihi ivyo inapelekea kuota kiasi Cha mafuta kisicho sahihi ivyo nakushauli kuwa makini nibora ukakamuwe mjini maana uko kunauwakika na sio kijijini
MLETA MADA KANUNUE MBEGU SERIKALINI BEI RAHISI HIZO HIZO KINA HYESUN N.K