Naingia Shambani very serious kulima Alizeti

Naingia Shambani very serious kulima Alizeti

Mkuu karibu changia uzoefu wako basi

Wastani wa gunia kwa ekari
Na wastani wa mafuta kwa dumu

Gharama sio tatizo
Tatizo ni kujua hiyo fomula hapo juu ndio tutajua kama inalipa au la
Msimu unakimbia mzee, ww fanya utoke huku, uende ukodi shamba ulime.
 
Msisahau pia kulima soya lishe ni hot cake kwa sasa wachina wanaihitaji sana mwaka huu wamenunua hadi wakakosa mzigo pesa ikabaki, mbegu bora fikeni Uyole kilimo pale na haihitaji mbolea, inauzika soya sijawahi kuona mjitahidi kulima hili zao mtakuja kuniambia baadae
 
Wapi hesabu haziko sawa mkuu
Ndio maana ameleta jukwaani ili ziwekwe sawa
Kuna thread flan nlifunguka sana kuhusu hiki kilimo, ngj niitafte nifanye ku copy.

Msimu ushaanza, atoke akatafte shamba mapema, tutamsaidia kumshaur atumie viwatilifi gan ili afanikishe, ila sio kupiga hesabu za mafuta na mashudu wakat bado hata kukodi shamba hajakod.

Hayo n matumiz mabaya ya mawazo
 
Kingine cha kumsaidia, alime mapema coz naona kapigia hesab na dengu. Ko akalime saiv ili mwez wa 2 aondoe alizet apachike dengu chap...

Cha kumsaidia tena, kuna zao linaitwa katam, n alizeti ndogo ya miba, nayo haitakag mvua kama ilivyo dengu. Akipata nafasi ailime ile kwa wingi kuliko dengu.

Kwa sasa gunia la dengu n 140000 na katam kwa sasa anatembea kwa 250000.

Ko aongeze kitu kichwan
 
Saidia mbegu ya katam inapatikana wapi, kwa ufupi mazao au mbegu zinazostahimili ukame ndio zinafaa kwa sasa maana mvua mwaka huu zitakua chache kama ulivoshauri watu wawahi kupanda maana mambo sio mambo
 
Hio katam inapatikana kwa mawakala wa mbegu mkuu. Japo kwa sasa jamii n kama imechangamka sana kiasi kwamba 90% ya wakulima wanazo. Ukobonga vzr na wananchi (sio mashabik wa yanga lkn) watakupa dira
 
Pigia wastani wa gunia 4 hadi 5 tuseme hapo ndio imekubali.

Mwaka jana nililima alizeti za kienyeji lakini nilivuna Mavuno sawa na walio lima hybrid.

Nilikuwa najaza gunia zenye wastani wa kilo 65-71 ambazo zilikuwa zinatoa lita 19-22
Mkuu upo sahihi. Alizeti kwa eka ni gunia 3 mpaka7 za kilo 70. Mafuta ni lita 15-20 kwa gunia.

Ili Hizo hybrid ili zitoe mavuno makubwa kama gunia 10-15 ni labda mtu alime kitaalam na kwa gharama kubwa za mbolea au hali ya hewa iwe nzuri, adhibiti ndege au eneo liwe na rutuba nzuri mno hasahasa udongo mweusiiiii tiiii kama samadi.

Huo ndio ukweli. Hizo hesabu zake sio sahihi arudie kufanya utafiti.
 
Mkuu ulitumia mbegu gani inayotoa lita 15 - 20 kwa gunia?
Na ujazo wa gunia ni debe ngapi? 6 au 8?
Hapo maana yake gunia moja ni sawa na dumu moja la lita 20

Najua wingi wa mavuno unatokana pia na ubora wa aridhi, ulilima wapi mkuu?
Mi nalima kwenye mbuga na ipo vizuri sana kama nvua hazitakua nyingi
Gunia 3 - 7 sio wastani mzuri kama aridhi ipo vizuri

Stoo ipo ya kuhifadhi wastani wa gunia 500 ipo mkuu tena free, gharama ya kuvuna kupiga na kupakia hadi stoo nimeiweka hapo

Mchango wako umenifanya nitafiti tena kwa kina wastani wa gunia ngapi kwa ekari
Na wastani wa mafuta kiasi gani kwa gunia
Hapa ndio pakujua kama inalipa au la

Kuuza mbegu ni hasara zaidi bora kukamua mafuta
Tafuta mkulima wa alizeti mzoefu wa kati au mkubwa hasa wa nyumbani umchimbe sana kisha utupe mrejesho.
Msimu huu ni watu wengi wamedhamilia kulima alizeti,nitasubiri mrejesho mwakani kutoka kwa wakulima hao.
Pia tunahitaji mkeka ulo_win kwenye thread yetu pendwa just for inspiration.
Mayu.
 
Mkuu upo sahihi. Alizeti kwa eka ni gunia 3 mpaka7 za kilo 70. Mafuta ni lita 15-20 kwa gunia.

Ili Hizo hybrid ili zitoe mavuno makubwa kama gunia 10-15 ni labda mtu alime kitaalam na kwa gharama kubwa za mbolea au hali ya hewa iwe nzuri, adhibiti ndege au eneo liwe na rutuba nzuri mno hasahasa udongo mweusiiiii tiiii kama samadi.

Huo ndio ukweli. Hizo hesabu zake sio sahihi arudie kufanya utafiti.
Ni kweli kabisa.
Binafsi sijawahi kusikia mtu amwvuna alizeti zaidi ya gunia 7 na nadhani hawa watu wa pembejeo wanatudanganya Ili wauze mbegu za za Hybrid.

Mimi nitakomaa tu na mbegu zangu za opv
 
Kingine cha kumsaidia, alime mapema coz naona kapigia hesab na dengu. Ko akalime saiv ili mwez wa 2 aondoe alizet apachike dengu chap...

Cha kumsaidia tena, kuna zao linaitwa katam, n alizeti ndogo ya miba, nayo haitakag mvua kama ilivyo dengu. Akipata nafasi ailime ile kwa wingi kuliko dengu.

Kwa sasa gunia la dengu n 140000 na katam kwa sasa anatembea kwa 250000.

Ko aongeze kitu kichwan
Aisee hebu type dira wapi tunaweza kupata hiyo katam maana hiyo hata ndege hawasogei
 
Mkuu nenda kalime...
Experience is the best teacher...
Kapate uzoefu huko, hapa wengi wanakatisha tamaa tu nadhani wengi ni wafanyakazi wa kusubiri month end ( broilers)..
Watu wanalima na wanafanikiwa, kwanini sio wewe..
Wakati naanza kujenga nilkuwa natembelea sana jukwaa la ujenzi, wengi wanaandika vitu hawavijui, unaweza usijenge hata usinunue tofali, nimeingia field nimejenga na nimehamia...
Walopokaji wengi sana humu..nenda huko huko na pia ukifanikiwa komaa huko huko ukileta mrejesho pia watasema ni uongo
 
Mkuu upo sahihi. Alizeti kwa eka ni gunia 3 mpaka7 za kilo 70. Mafuta ni lita 15-20 kwa gunia.

Ili Hizo hybrid ili zitoe mavuno makubwa kama gunia 10-15 ni labda mtu alime kitaalam na kwa gharama kubwa za mbolea au hali ya hewa iwe nzuri, adhibiti ndege au eneo liwe na rutuba nzuri mno hasahasa udongo mweusiiiii tiiii kama samadi.

Huo ndio ukweli. Hizo hesabu zake sio sahihi arudie kufanya utafiti.
Mkuu Mimi Ni alima Alizeti miaka yote na
Dar wanauza sehem gani? Nataka hyesun 33 hyo
Kwa DAR walikuwa karibu Marie Stops ngoja Ni cheki na jamaa takujuza mkuu
 
Back
Top Bottom