COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
PoaShukran, nichekie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoaShukran, nichekie
Mtu akisema very serious halafu anategemea mvua ndo simuelewi kabisaaaa
Kuna thread flan nlifunguka sana kuhusu hiki kilimo, ngj niitafte nifanye ku copy.
Msimu ushaanza, atoke akatafte shamba mapema, tutamsaidia kumshaur atumie viwatilifi gan ili afanikishe, ila sio kupiga hesabu za mafuta na mashudu wakat bado hata kukodi shamba hajakod.
Hayo n matumiz mabaya ya mawazo
Hauwez kujipangia coz unategemea mvua mkuu..... What if mzigo ukayumba kama mwaka 2011!!!!!....Mkuu ninaposema nimedhamiria namaanisha
Mashamba tayari nafanya mchakato wa mbegu hapa
Lakini mkuu kweli nianze kulima tu bila kujua nategemea kupata nini?
Na mbona nimeainisha from A to Z? Au wewe umeona mashudu na mafuta tu[emoji23]
Kuhusu katan mkuu huko ninapolima hawana uzoefu nalo nimekosa taarifa za kutosha ndio maana nikaona nikomae na dengu
Kama nvua zitaruhusu nataka niingize trekta shambani Desemba mwanzoni kabisa au Novemba mwishoni
Dengu inaviziwa mvua za mwisho kabisa mwezi wa tano au hadi wa sita
Huo unakua ni mzaha.. ila Jamaa kasema analima kwenye madude gani sijui kwahiyo mvua sio issue.
Mkuu ninaposema nimedhamiria namaanisha
Mashamba tayari nafanya mchakato wa mbegu hapa
Lakini mkuu kweli nianze kulima tu bila kujua nategemea kupata nini?
Na mbona nimeainisha from A to Z? Au wewe umeona mashudu na mafuta tu[emoji23]
Kuhusu katan mkuu huko ninapolima hawana uzoefu nalo nimekosa taarifa za kutosha ndio maana nikaona nikomae na dengu
Kama nvua zitaruhusu nataka niingize trekta shambani Desemba mwanzoni kabisa au Novemba mwishoni
Dengu inaviziwa mvua za mwisho kabisa mwezi wa tano au hadi wa sita
Mkuu kilimo kinacho lisha Tanzania na ziada ya kuuza nje ya nchi 90% ni kilimo cha nvua
Watu wanatoka na kilimo hiki hiki cha nvua
Dunia imeendelea kiteknolojia ni kufuata tu taarifa za mamlaka kuhusu hali ya nvua kila msimu
Ukitaka kufanya kitu chenye uhakika asilimia miamoja huta kipata
Kila kitu kina risk zake
Achana na kilimo cha kutegemea mvua,Lima kisasa upate uhakika wa mavuno.Karibu kibaha tuwekeze kwenye horticultural crops
Ila sio kusema kilimo serious hlf ukaingiZa mambo ya mvua
Sio kila risks unahitaji ku take nyingine uwaga sio muhimu
Inapatikana wapi mkuu na Tsh ngapi kwa hiyo 2kg
Hizi kwa mawakala inauzwa 28000 hadi 30000. Kwa baadhi ya maeneo serikali imetoa kwa 7000 kwa vikundi vya vijana waliosajiliwa.Inapatikana wapi mkuu na Tsh ngapi kwa hiyo 2kg
Shukran sana mkuu nimepata kwa kuanzia.Hizi kwa mawakala inauzwa 28000 hadi 30000. Kwa baadhi ya maeneo serikali imetoa kwa 7000 kwa vikundi vya vijana waliosajiliwa.
Kama unajitegemea, nenda kwa mawakala japo aina hii kdg n adimu ila ukiipata n bei hio kwa juu
Pamoja sana ndugu.Shukran sana mkuu nimepata kwa kuanzia.
Na je waweza kuwa na detail kwa Dodoma kuhusu hiyo mbegu.Pamoja sana ndugu.
Kwa Dodoma bado sijafaham, japo kuna jamaa yuko humu (naona tag inakataa, labda kabadilisha ID) ntajarb kumuulzia.Na je waweza kuwa na detail kwa Dodoma kuhusu hiyo mbegu.
Nitashukuru sana mkuu.Kwa Dodoma bado sijafaham, japo kuna jamaa yuko humu (naona tag inakataa, labda kabadilisha ID) ntajarb kumuulzia.
Ngj nifanye ku review PM nliwasiliana nae kpnd flan juu ya hizi ishu
Mkuu nasubiria taarifa nipo dodoma.Sawa mkuu