Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Haya kama mlivyosoma ni kweli

Hakuna biashara ina hela kama mapapai

Na hakuna biashara rahisi kama papai

Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja
Mtaani wanauza tsh 3000 moja

Kilimo chake rahisi sana ila usilime wakati wa mvua, papai inataka maji kidogo tu kwa siku

Mbolea sio sana mche wa papai tsh 3000 mmoja

Sasa endelea kusema maisha magumu, nimekaa pale youtube uje nakufundisha kupata hela
 
Somo zuri mkuu , papai imekaa kimasihara flan hv kumbe watu wanatokea humohumo.
 
unye labda kama n yale mapapai watu wasio yajua
Papai kama papai abadani
 
Unazani ata ungekuja kuandika huku kama ni kweli unapata izo pesa 🤣🤣🤣 wewe sema unataka interested peoples uanze kuwafundisha kilimo ili wakulipe Ada lakini kimsingi ni kwamba huingizi izo pesa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…