Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimewaza kama wew😂😂Papai ni code? Au ni papai kweli......
Tumuulize papai which and where toto?mmnh🤔
Asante kwa tangazoMbolea sio sana mche wa papai tsh 3000 mmoja
Hizi papai za buguruni pale.. zinamlipa sana aseePapai 3000 ni wapi huko? yani elfu 3 papai moja?
Muulizeni ila sisi watoto wa wakulima tunaelewa kila kitu ,. kudanganyika sio rahisi hivyoTumuulize papai which and where toto?
Sawa toto angu😊Muulizeni ila sisi watoto wa wakulima tunaelewa kila kitu ,. kudanganyika sio rahisi. Hivyo
😂😂Kuna watu watajua jamaa anafanya biashara ya papai kweli kumbe mwenzenu anazungumzia PAPAi ..
Sasa jichanganye ahahahahah
Sawa tomasoLabda lile papai lingine vinginevyo hiki ni kilimo cha pdf, jichanganye ujute.
Wewe tena ushafika ahahahahahah😂😂
Sawa mkuuSawa tomaso
Wacha tule hela
Naongelea Papai tunda sio mambo yako ya utapiamlo wa mapenziKuna watu watajua jamaa anafanya biashara ya papai kweli kumbe mwenzenu anazungumzia PAPAi ..
Sasa jichanganye ahahahahah
TundaPapai lipi hilo mkuu?
Ndio mkuu , kilimo cha papai kinalipa cha muhimu udongo uwe na rutuba tu.Wewe tena ushafika ahahahahahah
TundaPapai lipi hilo mkuu?
Kwani sokoni mwenzetu unanunuagq papqi bei ganPapai 3000 ni wapi huko? yani elfu 3 papai moja?