Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
Acha waendelee kuwa matomaso si tunapiga helaHizi papai za buguruni pale.. zinamlipa sana asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha waendelee kuwa matomaso si tunapiga helaHizi papai za buguruni pale.. zinamlipa sana asee
Alfu tatu ila pia pesa ya usafiri inaweza kuliwa na mkulima ,bila mzigo kufika.Kwani sokoni mwenzetu unanunuagq papqi bei gan
Na kusiwe na mvuaNdio mkuu , kilimo cha papai kinalipa cha muhimu udongo uwe na rutuba tu.
Unajua ukiona min kachangia kitu jua kuna kitu..Ndio mkuu , kilimo cha papai kinalipa cha muhimu udongo uwe na rutuba tu.
Mvua na unyevu ni muhimu ,ili kurahisisha jembe kufika chini kwa urahisi .Na kusiwe na mvua
Anaagiza akiwa amekaa dark hataki kwenda kufuata mzigo shamba? KaishaaaaAlfu tatu ila pia pesa ya usafiri inaweza kuliwa na mkulima ,bila mzigo kufika.
We sisi tunaongelea kilimo sio mapenziMvua na unyevu ni muhimu ,ili kurahisisha jembe kufika chini kwa urahisi .
Ahahahaha bana weee si wakubwa ujue ebu acha zako maney pennyNaongelea Papai tunda sio mambo yako ya utapiamlo wa mapenzi
Tapeli la mapenziUnajua ukiona min kachangia kitu jua kuna kitu..
Serious mkuu uwe kwenye mada ya kilimo kweli aaaaah na log off humu
Mambo ni mengi ukimlipa mkulima anatakiwa ahakikishe papai linafika dar bila kula nauli.Anaagiza akiwa amekaa dark hataki kwenda kufuata mzigo shamba? Kaishaaaa
Ahahahaha jamaa hovyo sana.....Tapeli la mapenzi
Alafu uzi wa mapenzi wa papai hajaja
Kasheshe
Zote nimelipa madeni ndio ninaanza sasa kuwa na pesa zanguKwa hio kwa sasa unamiliki zaidi ya milioni mia tano benki?
maana umesema una uzoefu mkubwa sana na hii kazi
Hamjaja
1000-1500. Wewe unauza soko gani?Kwani sokoni mwenzetu unanunuagq papqi bei gan
Utaendelea kulalamikia serikali, kumbe shida iko kwakoMambo ni mengi ukimlipa mkulima anatakiwa ahakikishe papai linafika dar bila kula nauli.